Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Karibu dada tuendelee kulisongeshasawa kaka
Karibu dada tuendelee kulisongeshasawa kaka
me ndio nimeingia hata huko mmu sijui pako vipiiHahaaa!
Umekuwa mpoleeeee! Kama kuku alienyeshewa na mvua
Shikamoo kaka Lee Empire
Asante KakaKaribu dada tuendelee kulisongesha
Pamoja dadaAsante Kaka
More pictures for Brahim..10/Brahim Takioullah![]()
![]()
![]()
Ni raia wa Morocco aliyezaliwa mwaka 1982
Huyu jamaa anashikilia rekodi ya dunia kwenye Guinness Book of World Records ya mtu mwenye miguu mirefu zaidi duniani anayeishi.....pia ndiye mtu wa pili wa muda wote mwenye miguu mikubwa zaidi kuwahi kutokea duniani(nazungumzia makanyagio) miguu yake ina urefu wa inchi 15 yaani kiatu kinatakiwa kiwe hivyo
Huyu jamaa sababu ya urefu wake ni uvimbe(tumor) ambao umeathiri tezi(gland) na kumfanya awe ngongoti
Ana urefu wa Futi 8 na inchi 1
...........
Nawe pia Mr TWakuu...
Muwe na usiku mwema.
Ilaa weweBaba D wangu shikamoo
Mungu anakuonaaBaba D umeme
Nimekuonaanimekuja Baba D
Ingia ndani mume wanguNishafika njoo nifungulie
Mzima weweMzima mndali sijui wewe?
Daah!hatareee6/Sultan Kosen
Akiwa na mtu mfupi zaidi duniani![]()
![]()
Huyu ni raia wa Uturuki aliyezaliwa mwaka 1982
Ana uvimbe(tumor) ambao unamsababishia arefuke kuliko kawaida
Ndiye mtu mrefu zaidi aliye hao ...Alikuwa na urefu wa kawaida hadi alipofikisha miaka 10
Mwaka 2006 madaktari walijaribu kuuondoa uvimbe ili asiendelee kurefuka lakini ikashindikana
Mwaka 2012 madaktari wa Virginia waligundua uvimbe kichwani umezidi kukua lakini kutokana urefu wake wakashindwa kumfanyia upasuaji na hivyo kupelekwa Sweden ambalo ilitumika teknolojia ya hali ya juu na kufanikiwa na hivyo kuwa nwisho Wa kurefuka kwake
Ana urefu wa futi 6 na inchi 3
.....
mimi apaIlaa wewe
Nawe pia mkuuWakuu...
Muwe na usiku mwema.