Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Natamani kila mtu humu aujue ukuu wa MunguAsante Sweetie..
Naona umeungana na BH katika segment ya kitakatifu..
![]()
Natamani kila mtu humu aujue ukuu wa MunguAsante Sweetie..
Naona umeungana na BH katika segment ya kitakatifu..
![]()
Siyo tu kutwaa kombe la dunia bali pia alichukua Ballon D'or kwa ngekewa na kuwa beki wa kwanza kuwa mwanasoka bora wa dunia10. Paolo & Fabio Cannavaro
Hawa ni ndugu wawili ambao wote walicheza beki ya kati enzi wanacheza. Paolo alitamba akiwa Napoli kaka yake alitamba akiwa na Napoli, Real Madrid, Juventus na timu ya taifa ya Italy ambao alitwaa Kombe la dunia la mwaka 2006 akiwa Nahodha.
![]()
![]()
![]()
Ahsante Mzee wa vyombo vya moto hii sikuwahi kujuaCAMEL BUS (CUBA)
Hili basi limetengezwa kwa kuunganisha Lori na basi, baada ya kuanza kufanya kazi baadhi ya magari ya abiria yaliacha kufanya kazi na husafirisha karibu abiria 300![]()
Kuna siku kilitokea kituko sijui Fabio alicheza rafu sasa refs akashindwa kuwatofautisha na kibaya zaidi jezi zinaanza na # 2 akampa kadi Rafael8. Rafael & Fabio da Silva
Mabeki hawa wa Kibrazil ambao waliwahi kukipiga Man Utd ni mapacha haswa wa kufanana kiasi cha kuwachanganya watu wengi wawapo uwanjani.
![]()
![]()
Umesema mama mchuchu wa ObeT nini tatizo?
Hataree sana...Shukrani pia kwa kutushushia nukuu
Leo naona kuna mambo mazuri kibao utafikiri "tumeambizana"
![]()
![]()
![]()
.....
Thats Great...!Natamani kila mtu humu aujue ukuu wa Mungu
Fresh tuHataree sana...
Bampa to Bampa...!
Nawaza kuleta Kitu kipya sasa kinaitwa KAPUKU TV
Eeeh kwni vipi?Umesema mama mchuchu wa Obe
Daah!8. Rafael & Fabio da Silva
Mabeki hawa wa Kibrazil ambao waliwahi kukipiga Man Utd ni mapacha haswa wa kufanana kiasi cha kuwachanganya watu wengi wawapo uwanjani.
![]()
![]()
Pamoja mkuu...!Fresh tu
Ni mwendo wa stori,utani,Vituko na kujazana maarifa mbalimbali
Inakuwa poa sana
......
Kumbe humu kuna wachamungu wengiNatamani kila mtu humu aujue ukuu wa Mungu
Mimi siku zote nilifikiri Pogba wote wamechagua uraia wa Ufaransa1. The Pogba Brothers
Paul Pogba - Kiungo wa Man Utd & France.
Florentin Pogba - Beki wa Saint Etienne & Guinea.
Mathias Pogba - Mshambuliaji wa Sparta Rotterdam & Guinea.
![]()
![]()
OKThats Great...!
Najua wataelewa tuu
Hakika mkuu, amri Kuu tuliachiwa ni UPENDOKumbe humu kuna wachamungu wengi
Labda ndo siri ya muelewana,kupendana n.k
Maani nguzo kuu ya dini/imani ni upendo
.....