Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Mmu mnatumia solar panel eeh? [emoji3][emoji3]Baba D umeme
Mmu mnatumia solar panel eeh? [emoji3][emoji3]Baba D umeme
Nithemeee [emoji3][emoji3]naniiii me ndio nimeingia
Hawa jamaa mambo yao ni special order tuu10/Brahim Takioullah![]()
![]()
![]()
Ni raia wa Morocco aliyezaliwa mwaka 1982
Huyu jamaa anashikilia rekodi ya dunia kwenye Guinness Book of World Records ya mtu mwenye miguu mirefu zaidi duniani anayeishi.....pia ndiye mtu wa pili wa muda wote mwenye miguu mikubwa zaidi kuwahi kutokea duniani(nazungumzia makanyagio) miguu yake ina urefu wa inchi 15 yaani kiatu kinatakiwa kiwe hivyo
Huyu jamaa sababu ya urefu wake ni uvimbe(tumor) ambao umeathiri tezi(gland) na kumfanya awe ngongoti
Ana urefu wa Futi 8 na inchi 1
...........
[emoji3][emoji3]acha tu huu umeme utasababisha tuachike nimekutana na text zake Baba D [emoji134]
nimeshamjibu nilipokuwa kwenye textSema ulikuwa wapi kwanza.m
Nishafika njoo nifungulieMie pekee angu naogopa
Kisaaa [emoji3][emoji3]Hahaha
Yaani Nimecheka mnoo
T ndio naingia mmu sijafika mie nimefika nimeanza kujibu pm za Baba DMmu mnatumia solar panel eeh? [emoji3][emoji3]
sema najiaminiNithemeee [emoji3][emoji3]
[emoji137] [emoji137] shemelaMweee
Ena kalumbuNdaga
Sawa dadakaka sio kwangu mimi
Mwambie akuwekee umeme wa solaracha tu huu umeme utasababisha tuachike nimekutana na text zake Baba D [emoji134]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Ena kalumbu
Ila wewe mtoto unajua kujitetea [emoji3][emoji3]T ndio naingia mmu sijafika mie nimefika nimeanza kujibu pm za Baba D
Mtaa wa st. Petersburg [emoji125] [emoji125]sema najiamini
sio najua kujitetea nenda mmu kaniletee post yangu ujue unaongea hivyo hujui upande wangu itakuajeIla wewe mtoto unajua kujitetea [emoji3][emoji3]
sawa kakaMwambie akuwekee umeme wa solar
Hahaaa!sio najua kujitetea nenda mmu kaniletee post yangu ujue unaongea hivyo hujui upande wangu itakuaje