ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 948
- 548
makapuku wenzangu mpooo
Ameeeeniii ...[emoji524] WARUMI 8
37.Lakini katika mambo hayo yote tunashinda ;na zaidi ya kushindav,kwa yeye aliyetupenda.
38.Kwa maana nimekwisha kujua hakika kwamba ,wala mauti,wala uzima,wala malaika,wala yaliyopo ,wala yatakayokuwapo ,wala wenye uwezo,
39.Wala yaliyo juu wala yaliyochini ,wala kiumbe kingine chote hakitaweza kututenga na upendo wa Mungu ulio katika Kristo Yesu Bwana wetu
[emoji523] Baba asante kwa upendo wako na kutuamsha salama ,tunashukuru kwa afya ,kazi ,familia na upendo usio mwisho tunajikabidhi mikononi mwako bariki kazi za mikono yetu ,ponya,huisha,simamia mipango yetu,ponya wagonjwa,na wanaopitia changamoto mbalimbali na Baba tunaomba tunayopitia yasitutenge nawe yatuimarishe na kufungua macho ya rohoni tuuone ushindi wetu.Tunaomba kupitia mwanao mpendwa Yesu Kristo
Amen
NAWATAKIA SIKU NJEMA MBARIKIWE[emoji7] [emoji7]
Amen Asante ubarikiweAmeeeeniii ...
Asante kwa neno mapema nimefurahi sana make nilikuwa nataman uwe unatuwekeaa kwanza mapema ...ubarikiwe
UbarikiweWakuu...
Muwe na usiku mwema.
UbarikiweNawatakieni usiku mwema makapuku wote