Makapuku Forum

Makapuku Forum

Soka Segment ( Double S )

Jack Charlton na Bobby Charlton ndio ndugu pekee kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia mwaka 1966.
article-2652210-0003A0DF00000C1D-553_634x602.jpg
173527.jpg

Haina la ziada jioni njema.
 
633adb97d5f95329d0e6cab6fb967763.jpg
852124e46094013a26193b2de012698d.jpg
79403c336d8c131c420574d51a5e1d6b.jpg
Selimundu ni ugonjwa unaoisumbua dunia nzima , kibaya zaidi unarithiwa
Kama una ndugu/rafiki/mpenzi epuka kumpa stress(kumuudhi) ....akiwa kwenye hali hiyo anaweza kupoteza maisha

Cc Mtaalamu wetu Lee
Tunaomba utupige kadarasa
......
Asante balozi japo ndo naingia naomba nikifika na kitulia ntatimiza ombi letu kapuku
 
Kapuku Tv..

Nitakuwa na Segment mpya ya Kapuku Tv.

Kapuku Tv itakuwa inakuja na link za Youtube zikiwa na video moja kila siku ;

Video hizo zitakuwa za;

1. Vioja au Comic scene video
2. Michezo
3.mziki
4. Habari za kiasiasa
5. Science
6.n.k

Note;

Zitakuwa ni video fupi za dakika 1 - dakika 5 ili kutokuboa mtazamaji.

Karibuni wakuu.
 
I'm waiting
 
KAPUKU TV LEO

Leo nawaleta Cristiani Ronaldo Jr .

CRJ alizaliwa June 17 2010 jijini San Diego -Marekani

CR junior hamjui mama yake hadi leo, Ronaldo alimpa mimba waiter wa Hotel moja nchini marekani na kumlipa Euro 1omillion sawa na billion 25 za kitanzania.

Sasa video ya hapo chini inaonesha CR junior akiwapiga chenga watoto wa Marcelo wakati wa fainali za Eufa mjini Cardiff.

Cr junior anaminika kuchukua nyayo za Baba yake Cr7 .

Kwanzaa pesa ni mwana haramu.. Unaweza vipi kubadilishana mwanao na hela!!!!

Nimeangalia hiyo video imenifanya nitamani kuzaa.. Hivi kuna wababa wanaopenda watoto hivyo kwenye Tanzania yetu jamani....

Wazazi jaribuni kuwa karibu na watoto wenu kuna vipaji vipo ndani yao Mungu kawajalia...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom