Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
![]()
Selimundu ni ugonjwa unaoisumbua dunia nzima , kibaya zaidi unarithiwa![]()
Kama una ndugu/rafiki/mpenzi epuka kumpa stress(kumuudhi) ....akiwa kwenye hali hiyo anaweza kupoteza maisha
Cc Mtaalamu wetu Lee
Tunaomba utupige kadarasa
......
Wakuu heshima kwenu kapuku wote ...j3 ilikuwa poa sana japo nimeadimika ila yote ni kulijenga taifa- Siku ya Kimataifa ya kupambana na Ugonjwa wa Sickle Cell
Twende sawa kwenye mada .....
Sickle cell kama inavojulikana seli mondu ni ugonjwa /hali wa /ya kurithi sio kuambukizwa kama magonjwa mengine na hii inatoka kutoka kwa mzazi kwenda kwa mtoto ...kwa kifupi ni genetic disorder
Ugonjwa huu kitaalamu unaitwa sickle cell anemia ikiwa ni kwa sababu unahusika na kuathirika /kuathiriwa kwa damu hasa chembe chembe zake ...nazungumzia Haemoglobin (Hb)
Ugonjwa huu unaharibu hasa usafirishaji wa oxygen gas kutoka sehem moja ya mwili kwenda nyingine na hii ni kwa sababu Hb ndo zinasaidia kusafirisha oxygen katika mfu Hbo ....
Cell nyekundu za damu ambazo mtu ana disoder hii muundo wake unakuwa kama nusu mwezi kwa kifupi
Mwanzoni nimeanza kwa kusema kuwa huu ugonjwa unarithishwa nikimaanisha kutoka mama au baba kwenda kwa mtoto
Tujikumbushe kitu muhimu kinachoitwa chromosome na hapa ntaizungumzia chromosome number 11 ...zipo nyingi na kila moja ina kazi zake ..inapotokea kasoro kidogo hasa mutation katika chromosome namba 11 ndo hii kitu kinatokea ..
Mfano ...kwa kuwekana wazi sex chromosone za binadamu ni X and Y na hizi disorders zinaisakama sana X ukilinganisha Y na zipo sources zinazoonesha Y haiusiki na masuala haya ...
Twende sawa kapuku ...baba anakuwa na XY na mama anakuwa na XX ....kidogo ya mada tafazal baba hapa mara zote ndo huwa anatengeneza jinsia ya mtoto usimlaumu mama eti kwa nn msichana kila uzaz au kidume ...uzembe wako ...ila haituhusu turudi pa leo
......ili mwanaume aonekane kapata janga hili chromosone ya X ikishakuwa na kasoro automatic anakuwa na sickle cell anemia tofauti na mama yeye anaweza chromosome moja ikawa na hicho kitabia wakati nyingine haina huyu ataonekana kawaida ....ndefu lakin tusichoke ..kwa hiyo ni simple mwanaume kuwa affected ila ni wachache make uhai wao ni mdogo sana kwenye jumuiya ...ila mwanamke anaweza kuishi kama zote hazipatwa na janga ...X moja affected moja normal hawa wengi ndo tunawaona ila ni.mbaya kwenye kumpata mtoto wa kiume ...
Ni darasa pana waweza kuongeza au kupunguza lengo kuleta maana
FAIDA YA KUWA NA SICKLE CELL ....huyu mtu ata siku moja HAWEZI kuugua Malaria ...
Asanteni