Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,246
- Siku ya Kimataifa ya kupambana na Ugonjwa wa Sickle Cell
HBD Joshua Nkomo1917 - Joshua Nkomo anazaliwa.
Makamu wa Rais wa zamani wa Zimbabwe na mmoja kati ya waasisi wa Uhuru wa Zimbabwe.
Hiyo ndio adhabu stahiki kwa watu kama hao1953 - Julius na Ethel Roseborg wananyongwa huko Sing Sing jijini New York kwa kosa la kufanya ujasusi kwa Urusi dhidi ya Marekani.
Kumbe waanzilishi ni Wamarekani!![]()
![]()
Mwanzilishi ni Samora Smart Dodd ambaye aliamini inatakiwa kuwepo na siku hiyo kutambua mchango wa akina baba huko Washington DC na kuwakumbusha majukumu yao kimalezi
Kufikia 1920's ikasambaa nchi nzima
Mnamo mwaka 1972 Rais wa Marekani Richard Nixon akaridhia iwe ni siku ya kitaifa.....baada ya hapo ulimwengu mzima ukaiga
......
Marais hawana umaarufu kama kansela1959 - Christian Wulff anazaliwa.
Ni Rais wa 10 wa Ujerumani.
1953 - Julius na Ethel Roseborg wananyongwa huko Sing Sing jijini New York kwa kosa la kufanya ujasusi kwa Urusi dhidi ya Marekani.
Ni kweli! Kansela ana mamlaka makubwa sana kiutendaji.Marais hawana umaarufu kama kansela
KUTOKA 14
Mungu Baba Mwenyezi asante kwa kutuamsha salama asante kutupa uhai asante kwa yote unayotutendea wewe ni Ebenezer hakuna kama wewe..naomba utupe kibali tupone ,tusafiri,bariki kazi za mikono yetu ...wabariki wote mahali hapa waweze kuona ukuu wako..asante sababu unatupigania..tunanyamaza kimya maana matendo yako ni makuu

Ubarikiwe kwa Historia mkuu Mussolin5 ubarikiwebkwa picha mkuu BitozLeo katika Historia:
Muwe na siku njema, sina la ziada.
Hukumu hutoka kama kunyongwa lakini mtuhumiwa anaweza akakaa kwenye kiti cha umeme au kudungwa sindano ya sumu.![]()
![]()
![]()
Adhabu yao waliyopeqa ni kuuawa kwa kutumia electric chair na siyo kunyongwa labda km walibadilishiwa staili ya kuuawa
Makosa yao mengi yalihusiana na Cold War
.......
Mungu awasaidie wagonjwa wasickle cell,Mungu atusaidie kuwahudumia wagonjwa hawa- Siku ya Kimataifa ya kupambana na Ugonjwa wa Sickle Cell
Asante, nawe pia
Binamu niwekee mwimbo wa josee mala khalid chokoraa na kalala junior (mapacha wa tatu) uwe dedicated kwa husna

So sad RIP ,POLENI NDUGU JAMAA MARAFIKIMtoto ajinyonga ugumu wa maisha
MTOTO Paulo Ezekiel amejinyonga kutokana na kile kinachodaiwa ugumu wa maisha.
KAMANDA WA POLISI MKOA WA SHINYANGA JUMANNE MURILO![]()
Paulo (17), aliyekuwa anaishi na wazazi wake Mtaa wa Mazinge, Kata ya Ndembezi mjini Shinyanga, alifariki dunia juzi usiku kutokana na kudaiwa kujinyonga kwa kamba juu ya mti jirani na nyumbani kwao.
Tukio hilo lilitokea majira ya saa 10 alfajiri baada ya marehemu kutoka nje ya geti la nyumba yao na kuelekea kwenye mti huo kisha kujipiga kitanzi kunakodaiwa kusababisha kifo chake.
Akizungumzia tukio hilo jana, baba mzazi wa marehemu, Ezekiel Paulo, alisema awali kijana wake alikuwa na ugomvi na marafiki zake ambao ni madereva bodaboda, lakini ugomvi huo ulisuluhishwa na akaendelea na majukumu yake.
Alisema chanzo cha kifo chake hajakifahamu vizuri, lakini mara kwa mara alikuwa akilalamika kuwa maisha ni magumu.
"Ilipofika majira ya saa 10 usiku nilisikia mlango wa chumba cha kijana wangu ukifunguliwa, nikajua ametoka kwenda kujisaidia, lakini muda mrefu ulipopita bila kusikia amerudi, ndipo nikatoka nje na kukuta geti la uani likiwa wazi, nikaanza kumtafuta bila mafanikio," alisema.
Aliongeza: "Niliporudi ndani nikamwamsha mama yake mzazi na wadogo zake wawili wa kike, tukaanza kumsaka ndipo tukamuona akiwa juu ya mti jirani na nyumba yetu, akiwa ameshafariki kwa kujinyonga na kamba."
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Jumanne Murilo, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa hakuna mtu yeyote anayeshikiliwa na jeshi hilo kuhusiana na tukio hilo.
Alisema mwili wa merehemu umehifadhiwa katika chumba cha maiti katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga na unatarajiwa kuzikwa leo kwenye makaburi ya Mtaa wa Dodoma mjini hapa.
Shukran...!!kamandaAsante, nawe pia

RIP Ibrahim Toure2014 - Ibrahim Toure anafariki Dunia.
Mchezaji wa zamani wa Ivory Coast.
Ni mdogo wao na Yaya na Kolo Toure.
1961 - Kuwait yajitangazia Uhuru wake toka kwa Waingereza.
HBD Christian Wulf1959 - Christian Wulff anazaliwa.
Ni Rais wa 10 wa Ujerumani.