binamu kweli umepona mama mchuchu usiende
![]()
![]()
![]()
mama angu mimi

Ni kweli🙂
Mimi nimemsiss sana, saa hizi kasema anakuja kuniona mgonjwa
jaman binamu ujue natamani kukuona
Haha hahahahahah, hapo nimemechisha na chupi ya VIP ina mistari ya njano.
Meno sijaswaki wiki yamekuwa ya njano, yaani nikismile kama unadrive kiscooter unapunguza mwendo😀

Jiamini utusaidieHivi ni kwa nini nakuwaga mzito hivyo kuandika???!
Hizo picha za Bitoz naziangalia tuu kila nikitaka kutoa maelezo naondoka tu automatically....
mama mchuchu asiende
Ni kweli kabisa mkuu, mie likija swala la kuandika tena aya kwa aya huwa naishiwa poziJiamini utusaidie
Kila mtu amejaaliwa maarifa
Na madada wote akina Husna,Shumy,Mama Mchungaji tusaidieni kidogo
![]()
![]()
![]()
......
Uwiiiii pole Bwana utakuwa sawa soonSijapona jamani, hivi niseme mara ngapi? Au niende TBC ndo mjue ninaumwa na BH aje kuniona au niweke tangazo kwenye noti ili kila mnapofanya manunuzi muone niko sik jama
![]()
Mapungohujamuona ?Komredi kipepe,mzee meko(mshambuliaji hatri) na lodi lofa wengine nimewasAhau
Unanunua kesi ya mwakaa
Duh basi sawaNi kweli kabisa mkuu, mie likija swala la kuandika tena aya kwa aya huwa naishiwa pozi
mkuu hizi picha zijazielewa.. kwaiyo tusubiri ndio wanazifafanua au vp.. natamani kuzielewa zina maana ganiNazirudia hizi ambazo hazijapata jibu
Wale mliofafanua zile zingine mmenifumbua macho ...kuna vingine sikufikiria kabisa![]()