Hahahaa...Hivi ni kwa nini nakuwaga mzito hivyo kuandika???!
Hizo picha za Bitoz naziangalia tuu kila nikitaka kutoa maelezo naondoka tu automatically....



Bado hajafika?🙂
Mimi nimemsiss sana, saa hizi kasema anakuja kuniona mgonjwa
hivi shemela kwa nini we na mkeo ni wachochezi utafika makhiri khiri


kwenye kuongea kama chirikuYaani ingekuwa kuongea... Mngenichokaa lakini kuandika daah

Hii ni inamaanisha namna makampuni makubwa yanavyoneemeka na mali za masikini, hawezi kufanya kitu bila wao, ndio maana vikwazo vya kiuchumi huwa zinaharibu nchi pamoja na watu wake, mfano Zimbabwe, Somalia
Mwaka huu nisipopata BP basi japo shell, maana sio kwa kunizibia huku yaani umekuwa kama beki za kiitaliano. Uwe na huruma wewe bhna, mimi naumwa

money slaveNazirudia hizi ambazo hazijapata jibu
Wale mliofafanua zile zingine mmenifumbua macho ...kuna vingine sikufikiria kabisa![]()
Kesho nitatiamo nenoHahahaa...
Hebu tia neno bhana...
Usije ukatuma VN tuu mama..! Ila sidhani kama jf inawezekanaYaani ingekuwa kuongea... Mngenichokaa lakini kuandika daah
Kabisaa yaaani...kwenye kuongea kama chiriku
![]()
![]()
Mapung'o yuko kwenye timu ya gazeti LA bongo hiyo team hapo ni ya kwenye gazeti LA saniMapungohujamuona ?
Ndo huwaga Man Of The Match hufunga magoli dk za majeruhi zaidi
![]()
![]()
![]()
......
Bado hajafika?
Pia pesa mwanaharamuHii ni kama inaelezea serikali ya marekani inavyo control uchumi na umwagaji wa damu kupitia ukandamizaji
Jf haiwezekani ningeshatuma mieUsije ukatuma VN tuu mama..! Ila sidhani kama jf inawezekana
Mbona yale maneno yako ukiniandikia huwa unaandika page nzima lakini baby?Ni kweli kabisa mkuu, mie likija swala la kuandika tena aya kwa aya huwa naishiwa pozi
naona wasikiweke tu, nahisi jf nzima utakuwa unasikika wewe tuKabisaa yaaani...
Mods watuwekee kitufe cha kurekodi
Zamani Wikend
Sitokuwa na mengi maana naona Jumamosi inataka kupita bila burudani. Tupate muziki wa zamani kidogo tena wa taratibu..
