BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
hope amekusamee.. lakini kwanini usimuite Jinja malon 😀 😀 😀Daby plz....
Yaishe mkuu
AsanteEnd![]()
.....
Akikujibu nitagKapi hako
Nimeulizaa
Jina ni lazima lianze na herufi kubwaKosa gan kamanda nyagei
haha! mkuu inaoneka umeikumbuka sana tom & jerry
Aisee huyu ni kiboko
SureSometimes He says no and it is just No!
Hatari sana
Kwani huyu ni the famous Daby wa MMU au ni avatar tu zimeingiliana? Daby wa MMU ni mcheshi na anapenda matani sana. Kama ni yeye basi he must be having a bad day.Daby plz....
Yaishe mkuu
Hivi huyu cheusi mangala ni nani? Anatajwa tajwa sana humu. Ni mhusika katika hadithi? Ni yule aliyeimbwa katika muziki (sikumbuki jina la wimbo) au ni mchepuko wa mtu?Si uliseme shemela unaogopa nini cheusi mangala