Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Kwa hiyo huwa mnapaa saa ngapi shem mpendwa mke wa mchawi toka sumbawanga
Kwa hiyo huwa mnapaa saa ngapi shem mpendwa mke wa mchawi toka sumbawanga
Eti walimanisha nn ??Kama kweli walikua wanamsema wamekosea wamuombe tu msamaha mambo ya kumsema mtu hayupo so vizuri kabisa ana haki ya kukasirika waliomsema wajishushe tu
Nambie mama mchuchu![]()
![]()
Lee!
Ka Kingwengu ngwendulileKapi hako
Daby plz....Sio mama tu wanaostahili kuheshimiwa hata ng'ombe. Kama unataka kizazi chako kiheshimiwe ni vyema ujiheshimu Kwanza.
Kwako swali nililoulizwa ni zuri kisa niliulizwa mimi au? Kwanini hukukemea nilipokashifiwa mimi?
Atakupa tuMwanao hanipiii ua nayaonaa kwako
AmenOwe nawe pia

haha.. bila shaka hizi ndio baadhi ya raha za kulelewa
Me sijui nimesoma kwa bamdogo angu basi sijataka kuendelea zaidiEti walimanisha nn ??
MpmDaby plz....
Yaishe mkuu
Mimi ulichekesha tu lile jinaHaahhah unajua mwenyewe unavyochochea
HahahaNambie mama mchuchu![]()
Petu mbomaKutokana na ratiba kubaba nashusha 10 kubwa mapema
....
Cc ShedebeMmmh!
MITHALI 8
INASEMA:-
21."Mauti na uzima vino katika uwezo was ulimi, nao waupendao watakula matunda take"
Kamwe usijilaani mwenyewe
ZABURI 34
13.Uzuie ulimi wako na mabaya, na midomo yako na kusema hila''
MITHALI 12
18."Ulimi wa mwenyehaki no afya"
Kila mtu anapenda lugha nzuri, tamu na maneno ya kutia moyo, uongeayo kwa ulimi wako ndiyo yatakufanya watu wakusogelee au kuwakimbiza.
Mungu atusaidie kwa polite tunalojinenea vibaya tufanye toba na kuanza upya.... IPO njia.
haha.. bila shaka hizi ndio baadhi ya raha za kulelewa
Si uliseme shemela unaogopa nini cheusi mangalaMimi ulichekesha tu lile jina
Kweli kajitakia mwenyeweDem stupid criminals. Here they come...
(5) Na hii tattoo yake usoni, ni sawa na mbuzi kufia kwa muuza supu!![]()
Nini tena ...Hahaha