Makapuku Forum

Makapuku Forum

DONDOO!!!!

Only found in Tz.
1. Mwanasheria wa serikali aliyehusika na kashfa nyingi za kifisadi
2. Bado ni kiongozi serikalini katika muhimili mmoja mkubwa kati ya mihimili mikubwa ya serikali.
3. Hajawahi kuchukuliwa hatua zozote za kisheria kuhusu tuhuma hizo.
4............(Ongeza na ya kwako)
Tatizo ni kwamba waliokuwa wakubwa wake pengine ndiyo wahusika wakuu; na ukimgusa tu ni mbwai mbwai hakuna atakayebaki salama. Tubadilisheni katiba iruhusu rais akiondoka madarakani tuwe na haki ya kumburuza mahakamani. Mzee wa malofa na wapumbavu na Vasco da Gama wasingepona!

Huyu graduate wa Harvard Law School bila shaka anajua mahali pa kutokea. Si ajabu ana hata memos kuonyesha kuwa alikuwa coerced na wakubwa wake na hivyo kisheria hahusiki. Joka Makengeza la kutoka Simiyu hilo!!!
 
7/Lion
5edd923765dd533edf36c56fafc850ef.jpg
8ecf1c0736799981fe2649d2a04b8b5c.jpg

Simba jike ndo mwindaji zaidi kuliko dume
Simba hukimbia kwa spidi ya zaidi ya Maili 50 kwa saa

....
 
Tatizo ni kwamba waliokuwa wakubwa wake pengine ndiyo wahusika wakuu; na ukimgusa tu ni mbwai mbwai hakuna atakayebaki salama. Tubadilisheni katiba iruhusu rais akiondoka madarakani tuwe na haki ya kumburuza mahakamani. Mzee wa malofa na wapumbavu na Vasco da Gama wasingepona!

Huyu graduate wa Harvard Law School bila shaka anajua mahali pa kutokea. Si ajabu ana hata memos kuonyesha kuwa alikuwa coerced na wakubwa wake na hivyo kisheria hahusiki. Joka Makengeza la kutoka Simiyu hilo!!!
Kama ilivyokua kwa Balali
 
ila vizuri kama hurogeki ila kumbuka wapo wanaopenda kurogeka ...sijasema kurogwaaaa

Mama shunie huyu wa mkongo nakumbuka kwenye harus alitukabidhi bibliaa na tunaitendea kazi

Sasa shedede mchawii kama alitest zali ndo hivo
Nimekupata. Humu narogeka kwa/na mtu mmoja tu; na bila shaka unamjua. Aaaaaarghhhh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom