Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,384
Sometimes He says no and it is just No!
Sometimes He says no and it is just No!
Mzee wa Kung'oaaaaa...Ni yupi mtoka povu unayemlenga hapa? Utani wangu ukikuzidia sema nipunguze mkuu; au niache kabisa kukutania. Unakwazika ninapokutania kuhusu ukaka wako kwa malkia Shunie na "ukipenzi rafiki" wako kwa kamanda Lee? Hii ni makapuku bageshi na utani ndo jadi yetu. Pole!
teh teh! wanasema kulelewa raha eti.. yani inakuwa full kudeka
Bamdogo angu hii id ni weweKwa hiyo huyu mwanamke anahaki ya kusema nimezoea kulelewa?Haha..
Ok, let's say nimezoea kulelewa na nilimwacha kisa alishindwa kunilea.
Nipo mkuu ila kumbe shedede ni mchawiJamani eeh...Nimepotelewa na shemeji yangu kipenzi. Husna Muba hajaonekana humu tangu juzi jioni. Shedede naye ndo hivyo haonekani. Wako wapi hawa couple? Waliitetemesha JF juzi juzi hapa leo hii hata mwezi haujaisha wanafifia kwa haraka. Shemeji Husna ukiona meseji hii jitokeze hadharani...
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1251460/
teh teh! wanasema kulelewa raha eti.. yani inakuwa full kudeka
Na wewe mchawiNipo mkuu ila kumbe shedede ni mchawi
atapewa tende saa 12 hapo kwenda sawa na mwezi huu!Mpe ua bhasi
Ba ndogo wako ana hasiraBamdogo angu hii id ni wewe
Wewe mkewe ulikuwa hujui? Tayari tuhuma zimeshatolewa kuwa pengine hata wewe ameshakufundisha. Mkinga yule hana mchezo ati!Nipo mkuu ila kumbe shedede ni mchawi
Sijawahi kumuona hivi toka nianze kumjua ndio mana nimemuuliza ni yeye au mtu kaamua kutumia avatar yakeBa ndogo wako ana hasira
Na shedy kiboko ...amekaa na mke mda wote akifanya uchawi kimyakimyaWewe mkewe ulikuwa hujui? Tayari tuhuma zimeshatolewa kuwa pengine hata wewe ameshakufundisha. Mkinga yule hana mchezo ati!
Eti kosa kulelewa sijuiSijawahi kumuona hivi toka nianze kumjua ndio mana nimemuuliza ni yeye au mtu kaamua kutumia avatar yake
Kama kweli walikua wanamsema wamekosea wamuombe tu msamaha mambo ya kumsema mtu hayupo so vizuri kabisa ana haki ya kukasirika waliomsema wajishushe tuEti kosa kulelewa sijui
Mheshimu shemeji yangu bana. Uchawi wa mumewe haumhusuUko poa mama mke wa mchawi



Habari ndio hiyooShedede mchawi. Maweeeeee!!!
Mwanao hanipiii ua nayaonaa kwako