Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Hahah nimekuwa mpole shemela jamaan kwani me sio mpoleLeo naona uko mpole sana shemela, kweli siku hazifanani
Hahah nimekuwa mpole shemela jamaan kwani me sio mpoleLeo naona uko mpole sana shemela, kweli siku hazifanani
Nimeiiba hii pic
ThitaaakiiiHata akiwa mchawi cndo oulomchagua mpeleke kwa mama mchuchu akafanyiwe maombi
Ndio yeye I'd yake nyingine![]()
mbona jna lingine
Yapo mpendwa ni wewe tuMaua ukiyoniahidi yapo au yashanyauka kama mgagani!!!?
You have experience on him..... Una haki ya kuongea.

Umbea unamsumbua tuVp Kwani Rafiki kipenz.... Kunani kuleeee
Ndio alivyosema mwenyeweIna maana Shedede mchawi?
Ndio maana yake hiyooKwa hio ulitaka kumsengenya?
Nakumis kinomaaaaa mm mzimaLee hujambo?
Nan aniteke sasaKwahiyo Baba D jana ulitekwa au haujatekwa?
Ili?!Subiri ageuke popobawa