Hahaaaa!
Inaota kila mahali.![]()
Hizo taaluma nimezi-experience ndio maana iko hivyoHmm..!! Wewe ni mwalimu? Comrade au ulishapitia ualimu/mwanajeshi
Imetulia baada ya kukuru kakara leo ni siku ya kuwa very close na familiaWeekend inakwendaje
Aisee, ila Asante kwa picha ya kijana

Nzuri mkuuHabari za jioni Makapuku
Mke mwee usiogope namuuliza yote shemela kama kaicheza si unajua utotoni

Vip ile project yako unaendelea nayo ama uliisimamishaHabari za jioni Makapuku
Nimeona alikuja kukanaKusema kweli mpenzi wa Mungu
Nko poaaaPoa mke mwee za wewe
Kweli kbsa uwe makin na shemela hyoUmeona eeh mke mwee mpaka nimalize kunyonyesha ndio nimtafutie D mdogo wake
Unataka kwenda auMmh..
Okey..
Mimi nilikuwa naivizia 199999Wewe ndio alikuzidi kiulaini sana, maana mlikuwa wawili tu
Bado haijasimama,Vip ile project yako unaendelea nayo ama uliisimamisha
Atakujibu leeMkuu, Aganza anahusikaje hapa?
Na amekana kweli kweli, ila shemela shunie sasa alivyombana![]()
![]()
Nimeona alikuja kukana