Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Usoninijione wapi sasa
Hiyo mimba imetokea kunichukia eeh
Usoninijione wapi sasa
Kafanana na nani sasaWala hajafanana na Shunie
Acha uchochezi bhasiUnitagi
Sio lee tuu, kuna kingineLabda tangu awe na Lee kimezidi
Na mieKafanana na nani sasa
Unataka anuneee sasaNa mie na Lee
Miii simooNa mie
HahahaUnataka anuneee sasa
Sema ukweli...Miii simoo
nikutag vipiii uje kuchungulia nini shemela we si una mkeUnitagi
Sijui ndo alikuwa anakuzengea wewe wakati huo..... Manake sisi vidume tukitafuta mitetea utashangaa..... Waweza likuta dume linakuna nazi. Sasa wewe lidharau ulione bwege... Utashangaa.![]()
![]()
kwann ucmuelewe katoa taarifa ameucheza
me mwenyewe hata sijui hivi nimekuaje halaf na ubishi umezidiHivi Shunie
Ni lini umekuwa na kiburi hivyo
hahahhhNa mie na Lee
kabla sijawa na lee nilikuwaje kwaniLabda tangu awe na Lee kimezidi
kafanana na mimiiiiiKafanana na nani sasa
Mtag tuunikutag vipiii uje kuchungulia nini shemela we si una mke
ni kipi hikoSio lee tuu, kuna kingine