shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Ndio shemela shunie kaianzisha tenaVita hiyo sijui iliishajee
Ndio shemela shunie kaianzisha tenaVita hiyo sijui iliishajee
Utamu kunogaKwani peremende si tamu ??
ndio huyu
Ndiooo Baba kAmeishasema yeye ni baba kijacho
Sasa jeNajua baba unavyokamatika huko
Kama mimi nikamuweke sakayo halaf badae nasema mdogo wake inachekesha sanaNdio hivyo, Nyagei nae hajaonekana tena
Wee muacheeNdio shemela shunie kaianzisha tena
Nipo kibaha huku juu nimetulia tuli, upepo mwanana kabisa kama niko beach vileMtafute kaja mitaa ya kwako leo mpeleke makhirikhiri
Wanajuana si wapo wote kwenye magroup yaoVita hiyo sijui iliishajee
Utaweza tu unavumilia tu Baba DNtawezaaa ??
Nimecheka sana aiseeKama mimi nikamuweke sakayo halaf badae nasema mdogo wake inachekesha sana
Achana naoHuyu sio mm ni mdogo wangu, simply siwez kujianika humu
Heri ya kuzaliwa bwana Mondray kumbe ni bado bwana mdogo
Yale au ??Wanajuana si wapo wote kwenye magroup yao
Pedeshee lee sijui ndio upo na cheusi mangalaSasa je
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Nipo kibaha huku juu nimetulia tuli, upepo mwanana kabisa kama niko beach vile
Ndio hivyo shemelaNimecheka sana aisee
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Ahsante lkn huyu sio mm ni dogo langu mm nina mke mtoto na mimba!!
Ya kubetYale au ??
Kama yale tu hamna tofautiYale au ??