Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Una mdomo mzuri sana na sijui ni kwa nini unauita bakuli. Usimkufuru muumba bana...Haya nifunge bakuli langu
Una mdomo mzuri sana na sijui ni kwa nini unauita bakuli. Usimkufuru muumba bana...
Tuwe huru kusemeshana bila kutishana wala nini, japo kwa heshima. Sioni tatizo katika hili. Na hii kwangu ndiyo appeal kubwa ya Makapuku. Tutaelewana katika kila jambo? Of course not lakini hata katika kutoelewana kwetu heshima na upendo vitajidhihirisha. Ndiyo maana umenisikitisha uliposema eti ni afadhali ufunge bakuli lako. Why? Sema tu kama una la kusema ali mradi usiporomoshe matusi kama hawa wageni wanaokuja huku mara moja moja na kuchafua hali ya hewa.
Na kama hujui wewe ni shemeji yangu kwa sababu Shedede ni rafiki na mtani wangu sana. Juzi juzi hapa kanishirikisha wazo moja zuri sana la ujasiriamali. Ni nani anayeweza kufanya hivi?
Kuanzia sasa nitaanza kukuita shemela na kukupa heshima zako zote za ushemeji. Husna, umenielewa?
sawa shemejiHuu ukaka umeanza lini? Juzi juzi tu Lee si alikuwa halali kwa ajili yako? Au umeamua kubadilisha gia ya kuingilia?Hata mimi Kakaako pia unanichenchia?
Namuona mke mweeetumosa
Inahitaji control ya ajabu kwa sababu wakati mwingine unapotezea lakini mtu amekung'ang'ania tu tena ndiyo anakuporomoshea matusi yale mazito mazito. Inahitaji practice kidogo...MTU akikutusi wewe Cheka kwa zereu tu usimrudishie kabisaa
Nani aliyegombania mwanamke hapa jombaa? Kama siyo wewe ulikuwa unalialia?Sakayo keshasema yupo na mimi ; its enough..
Afu pia wanaume huwa hatugombanii wanawake mkuu..
Umepiga sound umekuta ana mtu tayari...basi muache nenda zako.
Simple hivyo! And life goes..
Kuanzia Soni, Kongei, dochi, IJA, Lushoto mjini, na viunga vyake hunipoteziMussolin unaijua mitaa
Basi shunieeee...shemela ujue huyu T sio mzima mtoto wetu ndio jina lake kwahiyo tumbadilishe au


Mambo si hayo sasa...![]()
sawa shemeji
Nimekuelewaa
mke mweeeh kama we ni mwembamba ujue hata vibonge anapenda kazi unayo mama

tuheshimianeee huwezi muita Baba D wangu hivyo ujue Mama D ni weweBasi shunieeee...
Weww ni mama D
Lee ni mama D
Sakayo ni mama D
Transcend ni baba D
Vina mwanzo mwishooo![]()
Next week nitakuwa chugaChuga nahisi pako pouwa...nina miezi 5 sijatia mguu chuga
tukusamehe vipiiii mke mwee umefanya maksudi lipa faini![]()
![]()
nisamehe jaman
mlalo vipiiiKuanzia Soni, Kongei, dochi, IJA, Lushoto mjini, na viunga vyake hunipotezi
Husna wa Muba uko pouwa?Ndio mie huyoo
Na sakayo wake naye ni Dhapana kitu hakiwezekaniki mtoto wetu jina lake linaanzia na D