Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,402
Ni kweli. Utafikiri tumerogelezewa mkuu. Binti mweupe mahari yake ni ya kutisha. Mimi nimepanga kuoa chokleti orijino ili kuvunja hii bias.Wasukuma kwa vyeupe utawajua tu
Ila inaonekana siyo Wasukuma pekee. Huoni hata list ya Bitoz hapo juu imejaa wanawake weupe tupu?


msalimie mzee wa