Makapuku Forum

Makapuku Forum

Zile takwimu, tarakimu na majedwali ya jana stress zake nikawakumbuka watu wa huku kusikokuwa na stress. Nawatakia usiku mwema!
 
Koromije Rahaaaaaa! Huyu ndiye mwenyekiti wa kijiji.
082fea29494199dbc2d7e729571f921a.jpg
Utaitwa central ohooo
 
1/Princess Lalla SALMA
3859835bdd009cad6a9454a4d576c63c.jpg
fafc4e3170f7e5bfc1a22648c9734493.jpg

Ana umri wa miaka 39
Ndiye mke wa King Mohammed VI wa Moroko mwenye umri wa miaka 54
Ndiye Mfalme bishoo aliyekuja bongo mwaka jana akiwa na mapozi na macho ya kurembua kiasi watu kumsimanga kwamba ni shoga ila Sizonje alilamba misaada
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane Jumatatu
Mwisho
......
Asante Komredi!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom