shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Nimegee na mimi aiseeKuna tips nilizipata kupitia kwa SHIMBA YA BUYENZE bila ya yeye kujua nikazifanyia research nikapata jibu kuwa I was wrong
Nimegee na mimi aiseeKuna tips nilizipata kupitia kwa SHIMBA YA BUYENZE bila ya yeye kujua nikazifanyia research nikapata jibu kuwa I was wrong
Hii ni kwa mpendwa wangu wa dhati kabisa pasi na kupepesa macho mnamjua kama hamumtambui basi nami sitambuliki.
Jorowe amesema kwake kuandika ni hobby na huwa anafarijika anapoandika hasa kutuandikia sisi Makapuku wengine, naheshimu mchango wako Obe.
Leo katika kusikiliza nyimbo zilizopo kwenye flash niliyoletewa na shemeji yenu kuna wimbo umeimbwa na George Benson unaitwa Nothings gonna change my love for you, Jorowe utakuja kuongezea nyama hapa ili tujue original version ya wimbo huu.
Baada ya kusikiliza nikapata wazo la kusikiliza ikiwa katika guitar version na hii imekuwa nzuri zaidi maana unajikuta kama upo studio unaingiza sauti.
Leo nimejitahidi kuandika sababu kuna vitu vimenisukuma kufanya
Cc Linamo
Cc Obe (Jorowe)
Costa anasema kocha ndio tatizo, wakati alipofunga gori lake la mwisho alinyosha mikono juu kuwaaga mashabiki wa Chelsea
Kwani si tumeyamaliza au???Nawaona hawana michongo ya kidwanzi kama yako na mwenzako.
Natengeneza mazingira nichukue mrembo sakayo nyie mnaleta mishe ambazo siyo.
Subiri na vyie wanaume watakuja watawatongoza acheni kumuonea wivu mwenzenu.
Sema ndiyo tabia zenu nyie wanawake...Lee empire na Nyagei!
LioneeeeYatakuwa ya naberela
Bhinamu shikamoo
Na sio kawaida mkubwa kumsalimia mkubwa ilaa vigezo vikizingatiwa inakuwa hivyo shikamoo again ...
Kama kawaidaSafi tu vipi wikendiiiiii
5/Zeinab Suma Jamneh![]()
![]()
![]()
Alikuwa First Lady wa Gambia hadi juzijuzi Yahya Jammeh alipotolewa madarakani na Jeshi la ECOWAS baada ya kushindwa Uchaguzi na Kigoma kutoka Ikulu
Yahya Jammeh ana mke mwingine pia aitwaye Alima Sallah
......

mambo ya saa ya mshale binamuuuuMdau Nyagei, kwanza kabisa asante kwa kuwa unapitia muziki unaopandishwa hapa Makapuku, ni jambo jema sana kushukuru.
Pili nimemuona hizo saa alizovaa huyu jamaa? Well, moja hiyo ya silver silver inafanana na yangu.
Turudi kwenye suala la msingi, nyimbo hii ya kwenye flash (shukuru haijaliwa na virus) ni nzuri na GB aliutendea vema wimbo huu ambao baada ya yeye kuurekodi waimbaji kibao na band ziliuimba pia. Siku moja nitakuja na GB na tutaungana pamoja kufurahia muziki hapa Makapuku
Pole ya nini mpotezee huyo hawezi kuja na mikwara ya kitoto kutaka sifa kwa wana makapuku.Pole
Ondoa shaka!!! Am all yours
tumosaNimegee na mimi aisee
kwenye shambai watamchanganya tu ni kisambaa mwanzo mwisho afike kabisa kwanzaAtawapatia kwenye shambalai kabla ya lushoto
Kaa kimya.Nawe unataka kumjua ili iweje?
Na ndoo maana nimekusalimie nikupime ukarimu na busara zako make kurudisha salamu hiyo ni bia kama 4 ...nakujaa leo haatutakii pancha ..Mjomba mimi sijambo na kama unavyojua, Ijumaa shikamoo hazifai, wewe jitahidi uje hapa tulipokubaliana tuangushe mbuyu
Naona umeliamsha dude![]()
![]()
![]()
shemela ebu niache bana
Hakika, karibuni mama mchungaji atakuwa mhenga![]()
![]()
![]()
![]()
wahenga walisema "gonga ugongwee"Mbali na nyama kuwa na ladha na ufananano ulio sawa, kuna kunenepa what if nilimuoa akiwa mwembamba then baada ya kitambo akanenepa na kujazia haitokuwa busara kuvunja uhusiano hicho ndicho kimenifanya wote niwape heshima sawasababu nyama ni ile ile