Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
sijaelewa aniwish birthdayHaya
Salam zako kutoka kwa Kampalewele, kasema nikuwish HBD halafu nikukumbushe ahadi yako ya kuwa sister
kwani me ni birthday yangu
sijaelewa aniwish birthdayHaya
Salam zako kutoka kwa Kampalewele, kasema nikuwish HBD halafu nikukumbushe ahadi yako ya kuwa sister
kwani me ni birthday yanguNakukata stimu? Kamwite Shedede akupandishie
Ni ninyi msiopenda mawazo tofauti na yenu japo si ajabu mnapigania demokrasia pia. Bila aibu unapayuka kabisa na maherufi makubwa juu utafikiri una moral authority ya kumnyamazisha mtu hapa. Kapuku!
ulizidi banaa ndio maana akakujibu "OK" ili unyamanzee
Wapiii pedesheee lee toto ya peremende
mutu ya peremende ya pakee mingiiiii pedeshee lee na pesa zake
shemela umenishinda
Muziki: Tufurahi na Weekend
Muda mwingine tena Makapuku, na kama kawaida segement hii hukujia mara tu baada ya top 10 za Bitoz. Najua kabisa Ijumaa inaenda vizuri na sasa unajirejesha nyumbani au upo tayari ukijipanga nini ufanye weekend hii. Napenda ufahamu tu kuwa hakuna jambo zuri na lenye afya kama kutumia weekend ukiwa na familia. Kwa sasa niko bar yaani kama padri kanisani au shehe msikitini, hatutofautiani mimi, wewe na wao.
Furahiday sio ya maneno mengi sana, nikija kwako na maneno mengi jua kuwa nataka kukupiga mzinga/mkopo, kitu ambacho si kibaya.
Leo tuangalie reggae kidogo, ni kukumbushana tu mana muziki huu unaujua hata kabla siajuelezea. Hapo tayari ushafikira kina Bob Marley na wenzake, ushaangalia picha yangu na mawazo yako yashakupeleka kwenye kuhusisha reggae na bange. Pole sana.
Tunaangalia reggae laini 'riddim au rhythm' na tunamkuta jamaa anaitwa Eric Donaldson. Huyu ndiye mwimbaji wa kwanza kabisa wa wimbo uliowapa umaarufu UB40 Cherry oh Baby. na kwao Jamaica ana sifa zake nzuri tu zinazomfanya awe kati ya wanamuziki wenye kueleweka na jamii kubwa.
Mimi reggae sio kivile sana huku unavuta jani, yes, kuna tofauti kubwa sana kati ya jani na cocaine, ya pili haijawahi kumwacha mtu salama.
Kupunguza maneno nakuwekea vibao vyote kwa pamoja.na nimezitoa YouTube
Tuwe na weekend njema
Na hapa ni Eric akifanya yake (hii ni video mfu)
ThitakiiiiiiNakugawaaaa

Na mie sijaelewasijaelewa aniwish birthdaykwani me ni birthday yangu
Ipogolo huyu huyu. Mkwara mzito mnoo.Hamtaki utani.sijaelewa kwahiyo hiyo id ni yako
Bitoz aka Madenge tunajuana sana na kupapurana hivyo ni kawaida. Kwako wewe usiyeelewa ndiyo unaona ajabu. Ya Ngoswe ....![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ulizidi banaa ndio maana akakujibu "OK" ili unyamanzee
mmh acha nikae kimya watakujibu wengineIpogolo huyu huyu. Mkwara mzito mnoo.Hamtaki utani.
Akaaa....Unataka akutoee out leo ??
Jiheshimu sana kama umekuja kutujaribu hatujaribiwi msenge wewe kama matusi tunayajua nimekuheshimu mda fala wewe na akili zako ...acha mazoea ya ajabu kawazoee wasenge wanzakoFala nani sasa hapa? Pimbi nae ana mipaka?
Cenge sana
Alaa kumbe!Ndio mkuu, kwao shunie
Mh! Wapi hukoNtakupaa
Leo twende out ??
Ban Baba D itakuhusu kukaa kimya ni jibu zuri sanaJiheshimu sana kama umekuja kutujaribu hatujaribiwi ****** wewe kama matusi tunayajua nimekuheshimu mda fala wewe na akili zako ...acha mazoea ya ajabu kawazoee wasenge wanzako
Haya nifunge bakuli languBitoz aka Madenge tunajuana sana na kupapurana hivyo ni kawaida. Kwako wewe usiyeelewa ndiyo unaona ajabu. Ya Ngoswe ....
Shemela vip tenashemela umenishinda
Vuga road piakaisahau soni tu
Jiheshimu sana kama umekuja kutujaribu hatujaribiwi ****** wewe kama matusi tunayajua nimekuheshimu mda fala wewe na akili zako ...acha mazoea ya ajabu kawazoee wasenge wanzako