Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Naona shunie ananiitaMkuu vipii
Naona shunie ananiitaMkuu vipii
Nakuona Nakuona[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nakuonaaa
ujue unachekesha kwahiyo herufi D ni kwa ajili ya Transcend tu ebu niache banaAsubuhi hukuona majina ya watoto wangu..
Unadhani Baba D ni nani?
Huyo mtu mwacheni kama alivyo asipate wa kukomenti wala kulike tuone kama ataendleaNgoja nikuache ukikua utaacha
AfadhaliYameisha mkuu..
Amani
uliniuliza lakini au nilitakiwa nisijibu nikae kimyaHata mimi Kakaako pia unanichenchia?
[emoji87] [emoji15]Mchangiee
nimeipenda avatar yako husna huyo mdada[emoji87] [emoji15]
Kujibu sawa... Lakini kumbuka mcheza kwao..... ..uliniuliza lakini au nilitakiwa nisijibu nikae kimya
[emoji122] [emoji122] [emoji122] binamu is back
sawaKujibu sawa... Lakini kumbuka mcheza kwao..... ..
Ndio mie huyoonimeipenda avatar yako husna huyo mdada
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]ujue unachekesha kwahiyo herufi D ni kwa ajili ya Transcend tu ebu niache bana
Mmmmh!Zafanana magari ya Tanga enzi hizo
Lakini minung'uniko tofauti
ooh umependeza na rasta zako za kuzungushaNdio mie huyoo
shemela ujue huyu T sio mzima mtoto wetu ndio jina lake kwahiyo tumbadilishe au[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
umenifurahisha utakukutana na mazito zaidi ya hayo [emoji2] nitajitahidi niwe kama wewe nisome mwanzo mwisho sijui nitaweza na uvivu huu [emoji134] kusoma bila kuskipMmmmh!
Muite G,uwe mama G na Lee baba Gshemela ujue huyu T sio mzima mtoto wetu ndio jina lake kwahiyo tumbadilishe au
Chuga nahisi pako pouwa...nina miezi 5 sijatia mguu chugaKwema kabisa, pwani pako poa sana, vip arachuga
hapana kitu hakiwezekaniki mtoto wetu jina lake linaanzia na DMuite G,uwe mama G na Lee baba G