Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mambo si hayo sasa...
2655098801039adb4373c1cee46bb1fc.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] afu wewee
 
apande tu shambalai akwende mwenyewe hawezi kupotea akajichagulie kama anavyofanya mswati
Shambalai eeeh! Nilikuwa na rafiki yangu Mchungaji wa kike wa kanisa fulani hivi alikuwa Msambaa mweupe peee. Ndiye alinikomaza katika "neno". Shikamoo Tanga!!![emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Back
Top Bottom