mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Mkuu umekuja.... Afadhali binamu apumue.... Alikuwa ameshaishiwa maneno maskinMkuu hakuna tatizo wala..
Kila mtu anaheshimiwa kaka..
Lakini kuna utani mwingine ni mbaya.
Huwezi kuja kimtukana mtu wakati humjui wala hujui yeye ni nani..
So far wengi humu tunafaamina maisha ya nje ya jf...sasa kama mtu analeta matusi humu sio ustaarabu wala sio heshima..
Otherwise kaa makapuku ujifunze humu watu wanaishi vipi..
Karibu mkuu.



