Makapuku Forum

Haya ndo nilikuwa nataka useme mwaaaaaanzo kabisaaaaa ...sasa umempa hope atasumbua kiasi flani.
 
Mbona unazingua mdau
Nimetaja tu kwavile yeye ndo First Lady wa sasa

Wajadili hawa ninaowapost siyo umekomaa nae
Kumbuka maneno yangu hawawezi kubadilisha urembo wake km ni mrembo kila mtu anajua and vise versa is true
....
Siwezi kujadili mvuto wa mwili wa mwanamke kwa sababu hakuna sifa jumuishi za kimalimwengu zinazokubalika na kila mtu. Na kufanya hivyo, kwa maoni yangu, ni kupoteza muda tu. Mimi binafsi napenda vibonge lakini siwezi kuweka hapa picha ya mwanamke kibonge ndiyo nidai eti huyu ndiye mrembo wakati huo huo mtu kama Nyagei akiona mwanamke kibonge anatamani hata kukimbia. Ndiyo maana hapo juu nimesema kila mtu na lwake; na nikakimbia kabisa. Samahani kama nazingua lakini natoa maoni yangu tu kama ilivyo kawaida. Au unataka wote tuseme mrembo, mrembo, mrembo kama wengine wanavyofanya? Mrembo, mrembo, mrembo...kwa mujibu na vigezo vya nani? Vyako wewe?

Na kuhusu ugumu wa sura ya Mrs. Magufuli hiyo ni ishu nyingine ambayo kwa maoni yangu haina hata hadhi ya kujadiliwa hapa. Endelea kushusha hao "warembo" mkuu. Usikwazike !
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…