Makapuku Forum

Makapuku Forum

1959 - Nyambizi ya USS George Washington yazinduliwa huko Marekani.
Ilikuwa ni nyambizi ya kwanza inyotumia silaha za Nyuklia.
7f01d671769ab3c4829427891788986e.jpg
4df06e04589e365ebe17da14fb116f25.jpg
77a2f4dbba3f2336d091ff1eb185b4f4.jpg

Tofauti yake na meli ni kwamba nyambizi "hupiga mbizi"
.........
 
Binadamu ana figo mbili,mapafu mawili ila ana ini moja tu
Kazi rasmi ya ini ni Kubreak protein
b97c775dd5516c7473617bd9bcb7a46f.jpg

Yaani ni an enzyme
Ila kibongobongo kila kitu tunachokula kina sumu nafikiri ini ndo linalosaidia pia kuua sumu km ilivyo kwa figo ambazo huchuja majitaka(mkono)
Magonjwa ya ini ni hatari maana likiharibika tu ni balaa japo huweza "kupandikizwa"
Kwahiyo ukiharibu ini utazidiwa na sumu sijui zaidi na kila utakapokula ndo unazidi kuliharibu zaidi na huwezi kamwe kuishi bila kula
Kifo kitakuita
NB:
Sikumbuki vizuri Biology
...,......
Asante mkuu kwa nyongeza ...

Kwanza mkuu nikukumbushe liver sio enzyme bali inazalisha na kutunza enzyme

Ini ni kiungo kikubwa kuliko organ zote ndani ya mwili na kiukweli inafanya kazi kubwa sana ..katika ya essentil body part yenye umuhimu ni Ini hii ni kutokana na kazi zinazofanywa na ini ...

Bhinadamu kila mara mwili unahitaji nguvu na nguvu zinatoka na vyakula tunavyokula na huwezi jua kipi cgakula unachokula ni salama au vip ...

Baada ya atua ya mwanzo ya mmengenyo wa chakula hasa mdomoni chakula kikiingia tu mwili ini ufanya kazi ya detoxification au kuharibu kipi hakihitajiki na kipi kinahitajika ...

Ini inazalisha bile, ila bile sio enzyme .. inayotunzwa na gallbladder na hii ndo kama major activator ya liver kwenye detoxification na endapo ikipungua ndo hasa magonjwa ya ini yanaonekana

Mbali na hiyo ini inazalisha Bilirubi , choresterol hormone hasa kupambana na mafuta ...wala chips hapa tusamehe mafuta yansyotumika ini haiusiki nayo...usishangaeee

Lakin ini inasaidia kuactivate enzymes pamoja ns kutunza glyolcogen hapa likifeli magonjwa kama kisukari yatakusumbuaa sana .....

Asante mkuu ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom