Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
50/50Najua sakayo anataka wa kike ili tubalance familia.. 3 kwa 3
50/50Najua sakayo anataka wa kike ili tubalance familia.. 3 kwa 3
Miss u too darlingMy sweet miss you
Sio sura tuu hata tabasamu piaOhoooo. Kumbe sura zenu zinafanana?
Atastaafu lini kucheza mpira wa kulipwa?Happy born day kipenzi cha wajerumani
Asante kwa nukuu mkuuNUKUU YA LEO
Great things in business are never done by one person. They're done by a team of people.
Vitu vikubwa kwenye biashara havifanywi na mtu mmoja, huwa vinafanywa na timu ya watu.
Haya maneno yaliwahi kutamkwa na mwanasansi, na mgunduzi computer za Mac Bwana Steve Jobs
Steve Jobs alizaliwa tar. 24/2/1955 mjini california nchini marekani na kufariki october 5 2011 akiwa na miaka 56.
Steve Jobs alizaliwa na wazazi wenye asili ya Syria na kuasiliwa na wazazi wa kimarekani waliomlea wakati wa utoto wake.
Steve Jobs atakumbukwa kuwa ni moja School drop-out kama kina Marck Zukerberg wa Facebook na baadhi ya matajiri wengine walioacha shule na kufanya kile walichokipenda na kuamini kuwa ndio sehemu ya mafanikio yao.
Steve Jobs alifariki kwa cancer ya Ini. Ila pia ukumbukwe Jobs alikuwa anatumia sana marijuana na LSD kama sehemu ya starehe..
![]()
![]()
![]()
Kuna mengi ya kuandika na kijifunza kutoka kwa Steve Jobs lakini kwa leo niishie hapa.
Morning wakuu.
Mkuu kwemaSo sad!
Ha ha ha ha ha ha ha ha...... Kwani Shunie wewe hukubahatika kwenda jeshini (JKT)?jina lako kaka angu linatisha sana
We tuone tuNawaona nawaona
Na kwako pia dictator Mussolin5Leo Katika Historia:
Niwatakie siku njema, Ijumaa Kareem.
Tupo tupoNawaona nawaona
Sawa. Lakini watoto 6 Madame kwa umri wenu. Kijacho sio kimoja itakuwa Triplete. Jumla Nane. Mzee T anachekelea tu.Tuheshimiane
Lakini ndio kazi yake hiyoNooo babe's...
Sitaki mikono yako iwe na deni la damu ya mtu..
Leo ni malkia tuMmmmmmh
Asante mkuu kwa kuongeza nyama.Binadamu ana figo mbili,mapafu mawili ila ana ini moja tu
Kazi rasmi ya ini ni Kubreak protein![]()
Yaani ni an enzyme
Ila kibongobongo kila kitu tunachokula kina sumu nafikiri ini ndo linalosaidia pia kuua sumu km ilivyo kwa figo ambazo huchuja majitaka(mkono)
Magonjwa ya ini ni hatari maana likiharibika tu ni balaa japo huweza "kupandikizwa"
Kwahiyo ukiharibu ini utazidiwa na sumu sijui zaidi na kila utakapokula ndo unazidi kuliharibu zaidi na huwezi kamwe kuishi bila kula
Kifo kitakuita
NB:
Sikumbuki vizuri Biology
...,......
Uwe na siku njema shemMiss u too darling
Pamoja sana kiongoziShukrani Komredi Shululu
Ashindwe yeye tuDalton
Donald
Duncan
Doroth
Darlene..
AiseeNa saivi nina kijacho