Makapuku Forum

Makapuku Forum

Haiwezekani
Tatizo ni Kwamba hatuna trust na hawa jamaa, lakini wanafanya kazi kuliko tunavyofikiria sisi
Narudia tena
Polisi wa bara sio kama wa huku visiwani!!!

Leo nimeshuhudia trafik akikolomewa na dereva na kutukanwa juu wakat dereva aliambiwa tu arudishe gari nyuma kwenye foleni..
Na hakuchukuliwa hatua yoyote
 
Narudia tena
Polisi wa bara sio kama wa huku visiwani!!!

Leo nimeshuhudia trafik akikolomewa na dereva na kutukanwa juu wakat dereva aliambiwa tu arudishe gari nyuma kwenye foleni..
Na hakuchukuliwa hatua yoyote
Hukuchukua video kidogo....

Halafu kumbe ni police wa Zanzibar hapo kidoooogo naweza kukuelewa
 
Karibu Koromije mkuu. Huku TV ni laki tatu tu unapata. Unachosema hata hivyo ni kweli. Ndiyo maana Marekani huwa wanamlaumu sana Mchina kuwa huwa anafanya finance manipulation - mbinu za makusudi ili kuifanya pesa yake ibakie chini ikilinganishwa na dola hata kama uchumi wake unakua kwa kasi. Vita vya wakubwa!
Hakika
 
Asante sana mdau Shimba, kuandika ni 'hobby' na ninafurahi na kujiskia vizuri kuwa sehemu ya familia hii, Makapuku ambako kumejaa member wanaojitambua na kujali masiha yao na ya wengine bila kukereka wala kukereketwa.
Nikiingia humu huwa najifunza mengi sana tena ya msingi na yananifanya niwe na wakati mzuri nikaa kusaka mkate wangu na wa wapwa zako.

Hapo nilipopabold, ndo wanapokosea, ni kweli wapo watoto wa shule humu, JF ni kama kokoro... na unajua kokoro linaleta si samaki tu. Humu makapuku kuna watu wa fani zote na mada humu huwa zinaongelewa japo kiurahisi rahisi lakini ndo zinaeleweka vizuri sana.

Nikupe mfano mdogo tu, enzi hizo gazeti la Daily News lilikuwa linaandikwa kwa kiingereza kigumu hadi unajiuliza hawa waandishi ni maAnglo Saxon ama vipi? Yalipokuja mengine kama The Express, Guardian na mengine nikaona kumbe huna haja sana ya kuandika mabombastic ili uonekane unajenga hoja.

Hoja ni hoja pale inapoeleweka, na hili ndilo linalofanywa na Makapuku
"Hoja ni hoja pale inapoeleweka" Nimeipenda asante Obe
 
Interesting!

Yaani hapo ndo sisi tumeshindwa kabisa, yaani tunafurahia kujaza mapesa mfukoni bil kuyazungusha. Yaani mtu kuanzia jtatu hadi jpili anakula kwake tu, hajui kama kuna mamantilie wametoa ajira.

Na trend inayoendelea sasa badala ya kuifanya private sector iajiri watu wengi kwa kuipa tender za serikali serikali inachofanya ni kutoa pesa kwenye mfuko wa suruali na kuziweka kwenye mfuko wa shati utasema kadi nyekundu. Huwezi kujenga uchumi kwa kukalia mapesa huku bank zikishindwa kukopesha.

Kwa serikali kutoonesha kutaka kushirikiana na sekta binafsi (kana kwamba yenyewe ndo muajiri mkuu) linaundwa kundi kubwa la watu wasio na ajira na hii ni hatari kwa afya.

wenzetu wanazipa sekta binafsi ushirikiano ili zitoe ajira na uchumi usimame sawasawa sisi tunakazana (kazana) kujadili jaza ujazwe, lipa ukatiwe yaani akili za kijinga kabisa.

Kwa kusikiliza mijadala ya kuanzia kwa rais hadi bunge, utagundua kuwa, mosi wabunge wetu wengi wako hai kuanzia kiunoni kushuka chini ( ndo mana utasikia, kikalishe, jazwa ujaze) na pale feri kwetu tunapofurahia harufu ya shombo pameoza kuanzia shingoni kwenda juu. Shingoni kushuka chini pako makini sana kama makanikia.

Asante sana mdau, yaani ulichoandika hapo juu wallah tena nasikitika kwanini bia zinazidi kuongezewa kodi ilhali kuna watu serikalini hawalipi kodi kwenye mishahara yao mikubwamikubwa
Well said
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom