Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sasa mtu wanakwambia kafanye upelelezi ww hafu ndio upeleke majina ya ulio wapata, nikikosa je? Siku ya nne kesho nataka nikafungulie RB simu yangu ili hata wakiifanyia majanga nisishikwe mimi.
Ulisema uliripoti ina maana haukupewa RB?
 
Kabisaa
Wakati navamiwa ulikuwa wapi
Wala hujavamiwa madam, huyo hana ubavu wa kupenya ngome uliyopo, ni sawa na muandamanaji kuonesha bango Lake mbele ya media ili lionekane na lifike kwa muhusika bila ya kumgusa.

Ni uoga huo angekuwa kidume hasa angevamia private yako ila hawezi
 
Hakuna jeshi la kijinga kama hili dada..
Polisi unaweza mshika makalio na asikufanye lolote..
Unajua hakuna kitu kibaya kama kudharau mamlaka, kila kitu kina taratibu zake kwenye taasisi yoyote ile. Na wenye matatizo ni wengi kuliko unavyojua wewe, hao hao unaowakejeli Unataka wakusaidie wakati unawadharau
 
Hahaaaa daah yaan unasema tu sababu hujawaona kwakweli
Wee fikiria tuliwachukua waje waone tukio lilivyotendeka lkn walikataa na nimwendo wa Dk 5 tu..
 
ZABURI 121

1.Nitayainua macho yangu ,nitazame milima,msaada wangu utatoka wapi?

2 .Msaada wangu u katika BWANA ,aliyeziumba Mbingu na Nchi

3.Asiuache mguu wako usigezwe;Asisinzie akulindaye;

4.Naam hatasinzia wala hatalala usingizi,yeye aliye mlinzi wa Israel .

5.BWANA ndiye mlinzi wako;BWANA ndiye uvuli mkono wako wa kuume

6.Jua halitakupiga mchana,wala mwezi wakati wa usiku

7.BWANA atakulinda na mabaya yote,Atakulinda nafsi yako.

8.Atakulinda utokapo na uingiapo ,Tangu sasa na hata milele.

Shalom
 
Ndio kamanda yaan full mizengwe..
Duh mbona naona ni ubabaishaji huo ulipotoa taarifa ya upotevu wa Mali zako ulipaswa upewe RB hiyo ni haki yako kisheria. Baadae sisitiza upewe hiyo RB maana unaweza kumpata mwizi wako lakini usiwe na haki ya kumkamata
 
Wala hujavamiwa madam, huyo hana ubavu wa kupenya ngome uliyopo, ni sawa na muandamanaji kuonesha bango Lake mbele ya media ili lionekane na lifike kwa muhusika bila ya kumgusa.

Ni uoga huo angekuwa kidume hasa angevamia private yako ila hawezi
Endelea kujifariji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom