Makapuku Forum

Makapuku Forum

Huyo anayeniita ndo kwanza namuona leo, akuje na ID ya zamani nimtambue vyema..... Kinyume na hapooo ameagizwa tuu huyo!!!!!!
ID ya zamani bila shaka itakuwa ulishamtolea nje na sasa ameamua kujisulubu upya. Ila wanawake kusema kweli mna kazi. Imagine kutongozwa hivi kila siku. Mi ningekuwa napigana kila siku [emoji23][emoji23][emoji23]
 
UF ...
ab34c44a6a0e2d26eea0e679414555bd.jpg
 
Back
Top Bottom