Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tafakar ya kirat. ..
cddcaa5b7599cdba844ffbc29c487a17.jpg
 
ID ya zamani bila shaka itakuwa ulishamtolea nje na sasa ameamua kujisulubu upya. Ila wanawake kusema kweli mna kazi. Imagine kutongozwa hivi kila siku. Mi ningekuwa napigana kila siku [emoji23][emoji23][emoji23]
Samahani mkuu kidogo

If ungelikuwa ni wa kike basi hiyo dhana ya kupigana isingekuwepo kabisa labda ungekuwa unatoa lugha kali kali tu
 
Back
Top Bottom