Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Ndio RB ni lazima maana ina kumbukumbu ya faili lenye maelezo yakoShangaa na wewe..
Ukienda polisi kuripoti si unatakiwa ukate RB au???
Ndio RB ni lazima maana ina kumbukumbu ya faili lenye maelezo yakoShangaa na wewe..
Ukienda polisi kuripoti si unatakiwa ukate RB au???
Mm nikisema mnasema nadharau jeshi haya tu..Duh mbona naona ni ubabaishaji huo ulipotoa taarifa ya upotevu wa Mali zako ulipaswa upewe RB hiyo ni haki yako kisheria. Baadae sisitiza upewe hiyo RB maana unaweza kumpata mwizi wako lakini usiwe na haki ya kumkamata
Msaidizi wako yuko wapi?Heri yako basi
Wakati unawachukua wananchi wengine wahudumiwe na naniii... Angalia mazingira yanayomfanya akatae, wewe huna RB then Unataka polisi akakague eneo la tukio huku kuna lundo la wengine wanasubiri huduma. Ndo maana nikasema kila kitu kina taratibu zake......Hahaaaa daah yaan unasema tu sababu hujawaona kwakweli
Wee fikiria tuliwachukua waje waone tukio lilivyotendeka lkn walikataa na nimwendo wa Dk 5 tu..
Shalom mama mtumishiZABURI 121
1.Nitayainua macho yangu ,nitazame milima,msaada wangu utatoka wapi?
2 .Msaada wangu u katika BWANA ,aliyeziumba Mbingu na Nchi
3.Asiuache mguu wako usigezwe;Asisinzie akulindaye;
4.Naam hatasinzia wala hatalala usingizi,yeye aliye mlinzi wa Israel .
5.BWANA ndiye mlinzi wako;BWANA ndiye uvuli mkono wako wa kuume
6.Jua halitakupiga mchana,wala mwezi wakati wa usiku
7.BWANA atakulinda na mabaya yote,Atakulinda nafsi yako.
8.Atakulinda utokapo na uingiapo ,Tangu sasa na hata milele.
Shalom![]()
AmenZABURI 121
1.Nitayainua macho yangu ,nitazame milima,msaada wangu utatoka wapi?
2 .Msaada wangu u katika BWANA ,aliyeziumba Mbingu na Nchi
3.Asiuache mguu wako usigezwe;Asisinzie akulindaye;
4.Naam hatasinzia wala hatalala usingizi,yeye aliye mlinzi wa Israel .
5.BWANA ndiye mlinzi wako;BWANA ndiye uvuli mkono wako wa kuume
6.Jua halitakupiga mchana,wala mwezi wakati wa usiku
7.BWANA atakulinda na mabaya yote,Atakulinda nafsi yako.
8.Atakulinda utokapo na uingiapo ,Tangu sasa na hata milele.
Shalom![]()
Sijifariji nipo makiniEndelea kujifariji
Ndo la muhimu hilo sasa, ukishafungua kesi ndo taratibu nyingine zinafuataDuh mbona naona ni ubabaishaji huo ulipotoa taarifa ya upotevu wa Mali zako ulipaswa upewe RB hiyo ni haki yako kisheria. Baadae sisitiza upewe hiyo RB maana unaweza kumpata mwizi wako lakini usiwe na haki ya kumkamata
KomaliaMm nikisema mnasema nadharau jeshi haya tu..
Hivi kesho ndio nataka niifatilie na niaiku ya nne sasa tukio la toka jumatatu
Hana RB anataka kuwakamata weziNdio RB ni lazima maana ina kumbukumbu ya faili lenye maelezo yako
Anakoroma bhanaMsaidizi wako yuko wapi?
Anapata mvinyo au Anakoroma?
Hahaaa ngoja nikae kimya aiseeWakati unawachukua wananchi wengine wahudumiwe na naniii... Angalia mazingira yanayomfanya akatae, wewe huna RB then Unataka polisi akakague eneo la tukio huku kuna lundo la wengine wanasubiri huduma. Ndo maana nikasema kila kitu kina taratibu zake......
Kwangu mie nimekuondoa kwenye nafasi ya umakiniSijifariji nipo makini
HakikaNdo la muhimu hilo sasa, ukishafungua kesi ndo taratibu nyingine zinafuata
Sina shida ya kuwakamata ila watajileta wenyewe na lazima walipe zaid..Hana RB anataka kuwakamata wezi
Hii ni kwa mpendwa wangu wa dhati kabisa pasi na kupepesa macho mnamjua kama hamumtambui basi nami sitambuliki.
Jorowe amesema kwake kuandika ni hobby na huwa anafarijika anapoandika hasa kutuandikia sisi Makapuku wengine, naheshimu mchango wako Obe.
Leo katika kusikiliza nyimbo zilizopo kwenye flash niliyoletewa na shemeji yenu kuna wimbo umeimbwa na George Benson unaitwa Nothings gonna change my love for you, Jorowe utakuja kuongezea nyama hapa ili tujue original version ya wimbo huu.
Baada ya kusikiliza nikapata wazo la kusikiliza ikiwa katika guitar version na hii imekuwa nzuri zaidi maana unajikuta kama upo studio unaingiza sauti.
Leo nimejitahidi kuandika sababu kuna vitu vimenisukuma kufanya
Cc Linamo![]()
Cc Obe (Jorowe)

Bingooo!!!Komalia
Unamfinya tu ili umshirikisheAnakoroma bhana
HaiwezekaniHahaaa ngoja nikae kimya aisee
Yaan ungekua ww ukaona.
Wanakwambia hii jioni twawahi kufutari atiiii maana tukio niligundua jioni ila lilitokea mchana
I see!Ni kweli. Siku moja nakwenda kumchukua mtu airport nikakosea exit zote mbili kutokana na labyrinth ya mi-flyover yao hii. Nikajikuta nimeingia kwenye mzinga wa daraja reefu tena juu ya bahari halafu traffic ni bumper to bumper. Kulivuka tu karibia lisaa lizima ndiyo sasa nikaanze kuangalia utaratibu wa kurudi. Mgeni nikamwambia achukue taxi tutakutana nyumbani jioni. Mashikolomageni baba!