Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Asante mama mchuchu barikiwa piaNjema dear karibu sana mpendwa![]()
Asante mama mchuchu barikiwa piaNjema dear karibu sana mpendwa![]()
Mpe maua bhasiiii bhinamuu ata yaliyoexpiredHakuweka mazingira rafiki![]()
Apewe hela ya msfuta service nk.Kwa walioongwa au kupewa zawadi ya Gari wao unaliongeleaje?
nikutafutie???Jaman my wife yuko wapiii
Mtafute majukwaa yenu ajee
True fact.Ukiomba kwa bidii unapewa
Mleteeenikutafutie???
Mchango wake wa mawazo mkuu. Akiwemo humu kurasa zinakwenda fasta. Anachangamsha baraza. Kama BH mama mchungaji.Kazi za familia mkuu
Unataka nn
Nasikia ndio ana CV ya kuchezea buti za Mama Mchungaji. Ila Kiukweli si jambo rafiki kwa ustawi wa Afya zetu. Yanini kuongezeana ma jakamoyo na huzuni zisizokwisha kisa penzi. AgrrrrrrrBhinamu wangu huyo mkuu ...usiongee mengi
Aha haMchango wake wa mawazo mkuu. Akiwemo humu kurasa zinakwenda fasta. Anachangamsha baraza. Kama BH mama mchungaji.
Wafukunyukuutumefanyaje
uzima upo karibuJamani ninawasalimu nyote humu
Aisee tunasindikiza wenye maendeleo. Tena na hizo siasa zetu za kikombe cha Babu wa loliondo bado sana.4/Lake Pontchartrain Causeway![]()
![]()
Ndiyo daraja refu zaidi huko kwa Donald Trump
Linakatiza Ziwa Pontchartrain huko Kusini mwa Louisiana
Lina urefu wa Km 38.3
......
KaribuJamani ninawasalimu nyote humu