Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
Sasa jirani Mbona hatuambiani kama lee katoka porini huko,kwema tetra
?
Sasa jirani Mbona hatuambiani kama lee katoka porini huko,kwema tetra
hivi kwa nini haupendi shikamoo kaka basi acha nikupe mambo tuXhaba dada
Haya mabusu lazima mama mchuchu anayaone yalipoelekezwa na kurahisisha ngoja niweke na GPS
BlessedHope

Haya mabusu lazima mama mchuchu anayaone yalipoelekezwa na kurahisisha ngoja niweke na GPS
BlessedHope

Kazi unayooKoh Koh!!!![]()
![]()
![]()
ukipata wa kukupenda hakuna namna acha akutekeNimejifunza kuzoea sasa
Hahaha... karibu scramblerHodi hodi hodi hodi hodi
Mimi ni Mgeni napenda kujumuika na nyie humu ndani-Makapuku!
Sema kabla sijaja humu mnaoeneka nyie ni watu ambae mko tofauti sana katika hili jukwaa.
Kwanza,nimegundua kuna couples humu ndani hivyo mnaoneana wivu sana.
Pia, nyie mnapenda likes sana kwa sababu mtu akiweka hata alama ya koma mnalaiki tu.
NOTE: aliyesababisha nije humu ni SAKAYO huyu Dada nampenda sana nimekuwa nikijaribu kufuatilia comments zake nimetambua ni mwanamke kweli (wife material). Sakayo Nipo tayari kwa lolote juu yako lengo langu kubwa niwe na wewe.
umeamua kunifukuza baba dKwendaaa zakooo
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
, yani pamoja na msaada wa mpwa (Mr. Lee) bado hata jitihada za kupewa yale maua ya plastic imekuwa ngumu. Kweli mapenzi kizungu zungu.
Una malengo gani naye?hivi kwa nini haupendi shikamoo kaka basi acha nikupe mambo tu
Jinsi gani anavyo pata wakati mgumu wa kukuelewa.
we si ndio ulikua unaombea aoe kabisa huko huu ukarimu wa leo mbona siuelewiSasa jirani Mbona hatuambiani kama lee katoka porini huko,
?
Mwana mpotevu,,. Upo??Mutu ya congo upooo
we si ndio ulikua unaombea aoe kabisa huko huu ukarimu wa leo mbona siuelewiSasa jirani Mbona hatuambiani kama lee katoka porini huko,
?
hahahha...maua sijaomba hakyanani, ni rahsi tu kupata maua ujue
Si upo kwa mushengaumeamua kunifukuza baba d
habari za saa zimeanzaHuwa ananielewa sana, muulize atakuambia.
Halafu kuna sehemu umeniita mkuu, sipendi kuitwa mkuu na kwa taarifa yako tu ninamiliki saa na simu ya tachi

Swali gan sasaUna malengo gani naye?
😱 😱 😱 😱Huwa ananielewa sana, muulize atakuambia.
Halafu kuna sehemu umeniita mkuu, sipendi kuitwa mkuu na kwa taarifa yako tu ninamiliki saa na simu ya tachi