Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Kwendaaa zenyuuuuZaidi ya humu makapukuni hamna kwengine.
Kwendaaa zenyuuuuZaidi ya humu makapukuni hamna kwengine.
Lakini sijakufuza jamani..... Naomba nisiwe sababu ya kuvuruga mood yako.acha kujishtukia mzeewakungoa ukali wangu ni upiii ningeingia na kulike mngeongea mengine nimejibu ulivyoniquote unaniambia mkali sijui acha nitoke kidogo muwe na amani
Maskini ThimbwaUdaku, burudani na michezo View attachment 520516
Karibu sanaasante
Alikoseaa kujibu huyooo ..kaniquote mm ...naona aibu...![]()
![]()
![]()
Nimekoseaje?Sasa kipenz rafiki mbona umekosea kujib
Umenijibiaa auNimekoseaje?
Tupooo mkuuHabari ya humu wanamakapuku wenzangu mupoooooo
Yamekuwa hayo Rafiki...Kwendaaa zenyuuuu
Umeskip pages ...niliiweka hii
ChaplinMuwe na siku njema
Ngoja nikuhug huku niiekufunika na koti Lee asikuonenaona aibu...![]()
![]()
![]()