Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
mushenga kakataaInabidi umshitaki tu kwa mshenga
mushenga kakataaInabidi umshitaki tu kwa mshenga
Inajulikana pia kama See of Rome
Ni mamlaka ya kikanisa ya kanisa katoliki huko Rome(Vatican}
Pia ni maono/mawazo huru ya Papa kuhusu jambo fulani la kimaono zaidi(kiroho)
..........

mama mchuchu shikamoo mama angu
Nakuheshimu sana si ndo maana nakuita dada....aisee nimecheka sana halaf mzeewakungoa basi tu unatakiwa uniheshimu sana me na we tunatoka mkoa mmoja
ungekua unanipenda usingetaka kuniongezea mke wa piliWeeee nakupendaa sana ujuee
Bhinamu wangu jamaniiimama mchuchu shikamoo mama angu
hahahh mama mchuchu sijui mukongo kampa niniMaflowerz
Navokujuaa utabishaa ata ushahid bora niachre
hakuna ushahidi hapoLee huwezi dadaangu awe mtawa akose raha za ardhini.. ...ntahakikisha kwa gharama yoyote hilo lisitokee.sio sikutaki ukiongeza mke wa pili nakuwa mtawa
Tamaa tu nimekomaaaungekua unanipenda usingetaka kuniongezea mke wa pili
kama ataweza kumlea kama mtoto wake wa kumzaa amleeAu utakubar mke mdogo amlee
Bhinamu alisema kampigia ramli ...hahahh mama mchuchu sijui mukongo kampa nini
Unacheka nn au hujazoea kuitwa chaliii![]()
![]()
Tuko poaa