Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Ahaaaaah nakuona unawapa somoHeshima kwenu, mnatisha wengine hofu imewashika kwa ajili yenu
Uko poa lakin
Ahaaaaah nakuona unawapa somoHeshima kwenu, mnatisha wengine hofu imewashika kwa ajili yenu
WanakuonaaYanga vipi leo mbona mmeweka kikosi chote mngechezesha vijana tu
Ila nimekumbuka kumbe manji hayupo mnazisaka kwa udi n'a uvumba million 66
[emoji16][emoji16][emoji16]
Mbona leo kawaidaPage zinakimbia ni balaa
Hilo kwel sijui watu wanakulaMbona leo kawaida
Wakija hapatoshiiHilo kwel sijui watu wanakula
asanteUbarikiwe
Na Bado atujaamsha Dude sasaHeshima kwenu, mnatisha wengine hofu imewashika kwa ajili yenu
Wakija hapatoshii
kila lenye kheri ndugu yanguWatu kama ninyi ndio mnaongea chachu ya penzi jipya.
"ALIYEPUNGUKIWA NA AKILI UWAONEA WATU"
Mkuu nikikosa humu JF iwe shut down. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], sema kuna kipindi inabidi nakuwa msomaji na kuangilia wanaomnyemelea Mchungaji the BlessedHope of my everything.Mkuu upo humu!
Nimecheka sasa yule member aliyeomba pooo kule kwenye ule uzi, sijui aliyempokea kwa mabango humu ni nani?Heshima kwenu, mnatisha wengine hofu imewashika kwa ajili yenu
Inshallah, Mola atie wapesi na kuulainisha mtima wake ili atambue thamani yangu kwake. [emoji23]kila lenye kheri ndugu yangu
Ahaaaaaah[emoji23][emoji23] pasipo tosha tutaongeza mkeka [emoji23][emoji23]
Mkuu sorry ..nimetumwaaMkuu nikikosa humu JF iwe shut down. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], sema kuna kipindi inabidi nakuwa msomaji na kuangilia wanaomnyemelea Mchungaji the BlessedHope of my everything.
WqnazenguaaNimecheka sasa yule member aliyeomba pooo kule kwenye ule uzi, sijui aliyempokea kwa mabango humu ni nani?
Utasubiriiii sana ...Inshallah, Mola atie wapesi na kuulainisha mtima wake ili atambue thamani yangu kwake. [emoji23]
Hahaaa alafu unisakie mrembo alie singleAhaaaaaah
We kapuku kwelikweliii ongezea popcorn
Kwan wewe uko single ??Hahaaa alafu unisakie mrembo alie single
Hahaaa umepatiaKwan wewe uko single ??
Hongera kwetuBreaking news:
Uzi peke wenye post laki mbili na ushee ni Makapuku Forum