Makapuku Forum

Pole kwa magumu unayo yapitia hakika mungu ata kusaidia
 
Mdau segment hii ipo humu + unbelievable facts ambazo zina ufanano

Sasa tangu uingie humu kila unachopost ni MARIDIO TU maana kilishawahi kuletwa humu
Pia haipendezi mrundikano wa vitu vinavyofanana wakati kuna mambo mengi tu mazuri ya kuletwa humu ambayo yatatusaidia kujifunza

Hivyo nakushauri utulie uifuatilie thread walau kwa wiki moja kisha utajua ni kitu gani humu hakipo ambacho utaweza kukileta/kuanzisha
Shukrani mdau
...........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…