Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Ila kuna kundi la watu hapa Tanganyika ni wavumilivu na wapole, mpaka wanakera.

Angalia:- Kijazi chini. Mfugale chini. Jenista chini. Mkapa chini. Polepole chini. Ndugulile chini. Mafuru chini. Magufuli chini. Ndugai chini. Lukuvi chini, daaah nk nk.
Ni wavumilivu au hawana cha kufanya?
 
Ccm is very proud kutawala mazezeta kama wewe.

Condom ziliwekwa kuzuia mimba zisizotarajiwa kama wewe.

Baba yako angekuwa na skili paketi moja tu ya condom angeliokowa Taifa kutyletea kijana asiyekuwa na mchango wowote just like you.
Bado mtakuwa wehu mwezi huu na miezi yote iliyobakia kkmamae!
Samia acheki na kima! Tuone sasa hao Roma sijui wakatoliki watafanya nini, tulichoka humu kutwa Nchimbi, Nchimbi, mara hakuna wakumtoa kitawaka,haya sasa kiwasheni kama mnaweza! Kwa bongo Rais yupo above the Law mazuzu nyie! Biteko yupo wapi!? Simlimpamba sana? Wagalatia msio na akili!

Sasa andaeni Panadol na Diclopa za kutosha maana Ridhiwan anaenda kuwa Vice president au Makame mbalawa....
 
Lakini tetesi za mwanzo ambazo zilikuwa zinatajwa ni kwamba kulikuwa na shinikizo la kumtaka ajiuzulu.

Na shinikizo hilo lilikuja baada ya kauli zake tata. Ni kauli hizo hizo ambazo ziliwahi kumfanya aitwe Yuda pale Bungeni.

Hata yule kada wa CCM aliyetekwa na kuteswa alidai, waliomteka walimlazimisha amtukane Nchimbi.

Haya ni matukio ambayo yanasapoti hoja ya "kushinikizwa kujiuzulu" kuliko hoja ya "kujiuzulu kwa hiari"
Mwanzo nilizipuuza zile tetesi nilidhani ni propaganda za maCCM, kwa sababu ya cheo chake alicho nacho, lakini pia yule yupo pale kwa sababu alichaguliwa na wana-nchi.

Lakini baada ya kuona hili, basi nikili kama Taifa tuko katka Hali mbaya sana tena siyo kidogo.

Ni wazi sasa machawa ndiyo wanao ongoza hii nchi, na Kwa mantiki hiyo yale machawa yote yanayotoka public ku- address jambo, hupokea maagizo kutoka ikulu Moja kwa Moja.

Ni aibu kubwa sana kwa Taifa.
 
Utabiri wayule shehe kama unatimia vile.Alisema 2015 atatokea rais mwanaume mzalendo na atapendwa na watz wengi na hatamailza muda wake atarithiwa na mmama ambaye hatakuwa kipenzi cha watanganyika kwa sababu ya low performance capacity na atakimbiwa na makamu wake then na yeye atajiuzulu
Huo utabiri haujatimia.
 
Hatua moja mbele, walau sasa naweza kuona kuna uzito kwa Emmanuel sidhani kama alishatokea makamu wa rais akajiuzulu ila Nchimbi kwa hili nampa heko kama nilivyosema mwanzo.

Sasa ni muda wa kuyaeleza yale yote machafu aliyoyaona akiwa ndani [japo hawezi kutaja yote sababu ya kiapo cha kudumu].

Ila kwa kiasi fulani amejitenga na damu za October 29.

NB: Kwanini barua haina anwani pia?

Au ndio yale yale ya barua kama ya Ndugai.
Hivi Nchimbi amejiuzulu?

Ndiyo, "...ni hatua moja mbele..."; hata kama ni hatua hafifu; pengine hii hafifu ndiyo inaweza kuzaa hatua "imara" ya Tanzania kusonga mbele bila ya waovu hawa.

Dah!, 'Mkuu 'Matrix19', nani "aeleze yote machafu...", Nchimbi. Bado hujaielewa barua yake aliyoandikiwa kuiwasilisha kuwa anajiuzulu?
Huyu hutomsikia tena, kama usivyoweza kumsikia Philip Mpango na wengine wote ndani ya chama hicho waliostaafu, akina Pinda Kayanza.

Huyu hawezi kamwe kujitenga na damu ya Oktoba 2025; itaendelea kumtafuna katika dhamira yake vile vile kama inavyomtafuna Samia Suluhu Hassan.

Kiufupi, mkuu 'Matrix19', Nchimbi kaipoteza nafasi yake nzuri kabisa ya kujisafisha na uchafu wote uliofanywa na waovu hawa.
Amepoteza vibaya sana nafasi yake katika historia ya nchi hii.

Namsikitikia sana kwa kukosa fursa adimu kama hii aliyokuwa amepewa kuitetea Tanzania.
 
Angeweza kutojiuzulu kama mtakavyo na wasinge mu ua ila mngepewa taarifa MAKAMU WA RAIS ANAUMWA

Angekaaa kizuizini msimuone mpk 2030...kipi bora kukaa jela usionane na yeyote mpk 2030

Au kujiuzulu ukawe huru na maisha yako na mafao yako upewe,nk

Msichukulie hyo nafasi ya NCHIMBI ni kama BALOZI mpaka yanafikiwa hayo maamuzi pashaumana sana umo ndaniiii washatishana sanaaa washa sainishana makaratasi sanaaa hiii vita sio nyepesi

Anachopitia Nchimbi labda Lissu tu ndio anakiweza maana ashaonja Kufa
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.

Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha uamuzi wake wa kuachia nafasi hiyo.

Amesema uamuzi huo umefanywa kwa kuzingatia Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 149(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kujiuzulu kwake kutaanza rasmi Septemba 4, 2026.

Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa wakati alipomuahidi Rais Samia mwaka 2025 kuwa atamsaidia katika kutekeleza majukumu yake kwa uwezo na uaminifu wake wote, pia aliahidi kuwa angeachia nafasi hiyo siku ambayo Rais angeona anahitaji Makamu mwingine.

Amesema amefanya uamuzi huo pasipo shaka baada ya kubaini kuwa Rais anatarajia mabadiliko.

View attachment 3656524
Minyukano inaendelea
 
Hivi Nchimbi amejiuzulu?

Ndiyo, "...ni hatua moja mbele..."; hata kama ni hatua hafifu; pengine hii hafifu ndiyo inaweza kuzaa hatua "imara" ya Tanzania kusonga mbele bila ya waovu hawa.

Dah!, 'Mkuu 'Matrix19', nani "aeleze yote machafu...", Nchimbi. Bado hujaielewa barua yake aliyoandikiwa kuiwasilisha kuwa anajiuzulu?
Huyu hutomsikia tena, kama usivyoweza kumsikia Philip Mpango na wengine wote ndani ya chama hicho waliostaafu, akina Pinda Kayanza.

Huyu hawezi kamwe kujitenga na damu ya Oktoba 2025; itaendelea kumtafuna katika dhamira yake vile vile kama inavyomtafuna Samia Suluhu Hassan.

Kiufupi, mkuu 'Matrix19', Nchimbi kaipoteza nafasi yake nzuri kabisa ya kujisafisha na uchafu wote uliofanywa na waovu hawa.
Amepoteza vibaya sana nafasi yake katika historia ya nchi hii.

Namsikitikia sana kwa kukosa fursa adimu kama hii aliyokuwa amepewa kuitetea Tanzania.


Mkuu Kalamu , heshima mbele..

Bado naona kama kuna mchezo au kuna ukweli katika post yangu ya mwanzo niliyoweka kuna NOTA BENE [NB] muhimu nimeweka hasa suala la anwani ya barua hiyo pia nimeangalia hiyo nembo ya bibi na bwana ilivyokolezwa naona ni kama barua ya kuscan..

Kama ni igizo sioni sababu ya maana ila kama kweli kajiuzulua naungana ile post yako fulani kama nilivyotangulia kusema kule nitamwona amebadilika endapo ajiweka pembeni na utawa huu haramu na wa damu.

Nchimbi kachagua fungu jema maana ndani ya miezi 10 amejirudi nafsini na kujisahihisha.

Japo nimewiwa ugumu kutamani na kuona akiongea kilichomsukuma ndio inakuja ule ugumu wa sheria za viapo vya ulinzi wa siri za nchi.

Ninaamini Nchimbi anajua vyema yaliyotokea October 29 na hata tukio la kutekwa Polepole ila ana kaa la moto kwenye koo ndio nasubriri nione kama atayaweka wazi japo mambo hayo mawili hayao bounded kisheria kama siri kuu maana zilikua ni operation haramu za umwagaji damu ninasubiri nione kama atatema cheche.
 
25 August 2026
Bonn, DW Swahili

KURUNZI Live: Kujiuzulu kwa makamu wa rais Tanzania, nini kinafuata?


View: https://m.youtube.com/watch?v=sUamizIqGsg
Katika Kurunzi Live leo, tunaelekea nchini Tanzania kufuatia taarifa za kujizulu kwa makamu wa rais wa taifa hilo la Afrika Mashariki Emmanuel Nchimbi.

Kujiuzulu kwa Emmanuel Nchimbi kulikokuja ghafla kuna fungamanishwa na upepo wa kisiasa ndani ya chama chake kongwe dola CCM na hali hiyo ilikolea zaidi katika siku za hivi karibuni kutokana na kauli yake ya kutaka Watanzania wapambane kupata katiba mpya.

Je, nini kitafuata katika siasa za ndani ya chama hicho kongwe na nchi kwa ujumla?
Source : DW


25 August 2026

Sababu Zilizomfanya Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi Kujiuzulu Madarakani Leo / Nchimbi Leo Tanzania News


View: https://m.youtube.com/watch?v=p2idMgofFhY

Eagle Ezra ni mwandishi wa habari na mchambuzi huru wa masuala ya kisiasa kutoka Tanzania mwenye uzoefu mpana katika mada mbalimbali. Kupitia kituo hiki, tunakuletea uchambuzi wa kina, maoni, na mjadala kuhusu masuala ya kisiasa na kijamii yanayoigusa Tanzania na kanda kwa ujumla

View: https://m.youtube.com/shorts/OntDqQgZZV8
 
Back
Top Bottom