Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

HQgT1r8WEAAQizI.jpg
 
Huu ni uvivu wa kuwaachia kazi yako wao tu.

Na ubaya wa kuwaachia watu kazi yako, wataifanya wanavyotaka wao, si unavyotaka wewe.

Wakimalizana wote wakabakia ma dikteta watupu wakaamua hii nchi itaendeshwa kifalme hakuna uchaguzi napo utafurahia na kusema wamemalizana?
Sasa mkuu unataka tufanyeje kama kila anayefanya hiyo kazi anatolewa uhai
 
Tukikubqli kwamba Nchimbi kachagukiwa na wananchi, for arguments sake, najua hii hoja in amatatizo mengi, lakini labda tuondoe CCM, tumuondoe Nchimbi, guiangakie katiba tu.

Ukiachilia sababu kama za afya au kufariki, Makamubwa Rais aliyechagukiwa na watu kushurutishwa kujiuzulu, halafu Rais amteue mtu mwingine kuwa Makamu wa Rais, japa demokrasia inebakwa.

Yani Watanzania wameambiw akura zao hazina maana mara mbili.

Kwanza kwa sababu Nchimbi hakuchagukiw ana wananchi, uchaguzi ulikuwa fake.

Halafu baada ya uchaguzi fake, rais anaamua kumtoa anavyotaka na kumuweka makamu mwinhine anayemtaka yeye.
Sahihi sana.

Tukiachana na ukweli kwamba wanaojitangazia ushindi kwa sasa si watu waliokubaliwa na kuchaguliwa na wananchi, kuna kipindi mgombea urais asiyekubalika atatumia upepo wa makamu anayekubalika sana kisha watamfanyia figisu, kumwondoa na kuweka mtu wao.

Hiyo tunayoiita katiba yetu ina loopholes nyingi sana.
 
TANZANIA POLITICS 2026 : Deep analysis of infighting besiege the hegemony of ruling party CCM

27 July 2026
Tanzania’s Vice President Emmanuel Nchimbi is calling for a new Constitution before the 2029 and 2030 elections. But while civil society sees hope, critics fear another stalled promise.

View: https://m.youtube.com/watch?v=e1vTwB_umS8


25 August 2026
Nairobi, Kenya

Makamu wa rais Tanzania Emmanuel Nchimbi ajiuzulu


View: https://m.youtube.com/watch?v=D3vWVwyCIwc
Makamu wa rais wa jamhuri ya tanzania, dkt. emmanuel nchimbi, amejiuzulu rasmi kutoka kwa wadhifa huo baada ya rais samia suluhu kukubali uamuzi wake.

Source : Citizen TV Kenya
 
TANZANIA POLITICS 2026 : Deep analysis of infighting besiege the hegemony of ruling party CCM

27 July 2026
Tanzania’s Vice President Emmanuel Nchimbi is calling for a new Constitution before the 2029 and 2030 elections. But while civil society sees hope, critics fear another stalled promise.

View: https://m.youtube.com/watch?v=e1vTwB_umS8


25 August 2026
Hotuba Iliyomponza Dk Nchimbi Mpaka Kujiuzulu Umakamu wa Rais ?


View: https://m.youtube.com/watch?v=uSzxAaBRWhE
 
25 August 2026
Hotuba Iliyomponza Dk Nchimbi Mpaka Kujiuzulu Umakamu wa Rais ?


View: https://m.youtube.com/watch?v=uSzxAaBRWhE


25 August 2026
Bonn, DW Swahili

KURUNZI Live: Kujiuzulu kwa makamu wa rais Tanzania, nini kinafuata?


View: https://m.youtube.com/watch?v=sUamizIqGsg
Katika Kurunzi Live leo, tunaelekea nchini Tanzania kufuatia taarifa za kujizulu kwa makamu wa rais wa taifa hilo la Afrika Mashariki Emmanuel Nchimbi.

Kujiuzulu kwa Emmanuel Nchimbi kulikokuja ghafla kuna fungamanishwa na upepo wa kisiasa ndani ya chama chake kongwe dola CCM na hali hiyo ilikolea zaidi katika siku za hivi karibuni kutokana na kauli yake ya kutaka Watanzania wapambane kupata katiba mpya.

Je, nini kitafuata katika siasa za ndani ya chama hicho kongwe na nchi kwa ujumla?
Source : DW
 
Aliyemuua Mkapa alipiga hesabu kali sana na ndiye anayeliangamiza taifa. Laiti Mkapa angekata kauli 2014 kurudi nyuma tungekuwa na Mseven wa tz.
Hivi haiwezekani hii ikawa ilikua ni plan yake all along toka yaliyotokea dom Jan 2025?

I mean kumweka karibu ili jambo lao lipite kirahisi then kumstaafisha siasa ili kupunguzia upinzani his Jr comes 30'?

Nawaza 🤔
 
Mkuu vipi huu mwandiko aisee
Kwanza kabisa si mwandiko ni muandiko.

Pili huo si muandiko ni mtihani kama u aijua paper ya Claude Shannon ya mwaka 1948 "A Mathematical Theory if Communication"

Tatu, nimesahihisha muandiko, soma tena tujadiki mada.

Nne, kumradhi kwa usumbufu. Natumia simu halafu na solve matatizo ya kweli hapa ya watu hapa.
 
Sasa mkuu unataka tufanyeje kama kila anayefanya hiyo kazi anatolewa uhai
Kwani nyie hamuwezi kutoa uhai? Watu milioni sabini wote mmekosa hata sniper mmoja awatoe kimasomaso?

Watu wanauawa kama kuku, aliyetoa amri anasema nguvu iliyotumika ni sawa tu, halafu nchi inaendelea tu kama hakujatokea kitu, wewe unaona sawa hapo?

Hili ni tusi kwa Watanzania wote.

Anahitajika angalau mtu mmoja tu ajitoe muhanga kurudisha heshima ya nchi.
 
Kuna saa nawaza hii idara ya usalama wa taifa hawawezi kuzua kitu kama hiki?
Hawako mbele ya muda kuona kiongozi huyu anafaa apewe nafasi na huyu hafai wasipewe nafasi.

Why kila siku migogoro ya kiutawala na ya kimamlaka ?
Lini sasa taifa litakaa tayari kwaajili ya kufocus kwenye maendeleo ya jumla ?

Tutabaki kila mara migogoro mpaka lini,na tahamaki 2030 hio hapo!
Kwa haya yanayoendelea na huu usalama wa taifa bure kabisa
 
Sidhani kama wananchi wa Tanzania wanashida sana na vyama. Wanachagua wanachagua mtu na sio vyama. Ni mjinga tu ndie ataamini kuwa kila aliye chadema ni msafi na kila aliye ccm ni mbaya. Na kwa taarifa yako bora hata ccm wanaozoefu kidogo wa mambo wanaweza kuingia hao wengine ndio kila kitu kikaharibika.
Hakuna Tanzania ya namna hiyo, ndio maana huwa tunasema Demokrasia ni upuuzi fulani hivi. Kukataa kwamba zaidi ya 70% watu hupiga kura kwa sababu ni Chama fulani, ni kujikosea.
 
Kwanza kabisa si mwandiko ni muandiko.

Pili huo si muandiko ni mtihani kama u aijua paper ya Claude Shannon ya mwaka 1948 "A Mathematical Theory if Communication"

Tatu, nimesahihisha muandiko, soma tena tujadiki mada.

Nne, kumradhi kwa usumbufu. Natumia simu halafu na solve matatizo ya kweli hapa ya watu hapa.
Wakosoaji wa Tanzania ni hatari sana. tujadiki 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
25 August 2026
Hotuba Iliyomponza Dk Nchimbi Mpaka Kujiuzulu Umakamu wa Rais ?


View: https://m.youtube.com/watch?v=uSzxAaBRWhE

Swali ni, je, alipotoa hotuba hiyo alikuwa anategemea nini kitatokea baada ya hapo?
Aliropoka tu kwa mihemko ya kushangiliwa kwenye ukumbi huo?. Hakuwa anaamini chochote katika maneno aliyoyazungumza kwenye hotuba hiyo?

Watu 'superficial' kama huyu ndio waliojaa tele ndani ya hicho chama.
 
Back
Top Bottom