Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.

Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha uamuzi wake wa kuachia nafasi hiyo.

Amesema uamuzi huo umefanywa kwa kuzingatia Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 149(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kujiuzulu kwake kutaanza rasmi Septemba 4, 2026.

Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa wakati alipomuahidi Rais Samia mwaka 2025 kuwa atamsaidia katika kutekeleza majukumu yake kwa uwezo na uaminifu wake wote, pia aliahidi kuwa angeachia nafasi hiyo siku ambayo Rais angeona anahitaji Makamu mwingine.

Amesema amefanya uamuzi huo pasipo shaka baada ya kubaini kuwa Rais anatarajia mabadiliko.

View attachment 3656524
Sasa nikawe makamu wa kitegemea , so Bashite ndo Makamu ajae ? Watu mil 60 kwa nchi inawezekana vipi hongozwa kilaza kilaza , watz msipo ikumbatia Chadema tumekwisha.

Note

Kama kama ni kweli chadema isitokee mkampokea najua nini naongea
 
Kwani uongo??

Kanisa linampenda samia?we sema tuh ukweli baba parokooo
Itoshe kusema wewe akili huna.....period!

Kukaa na akili kama hizo humo kichwani ni msiba kuanzia waliokuzaa mkeo wanao wewe mwenyewe hadi ukoo wako wote!Taifa linavurugika wewe unakazana na uislam hivi uislmu vile mara kanisa hivi kanisa vile acha kuwaza kama maiti usione sifa kwa huu ujinga.
 
Naiona chadema 2030 ikapata nguvu kubwa sana kama ilivyopata kwa lowasa.
Na hapa ccm isipokua makini ndio mwanzo wa upinzania kuchukua nchi kupitia nchimbi. Maana huko huko ccm kuna watakao jitoa kuingia upinzani iki kuikomoa ccm ambayo itakuwa na mafungu ya zanzibar na bara baadhi.
Mchimbi mtoto wa mujini anaenda kupumzika hukooooo kusikojulikana
Ila mwana wa Mungu lissu anamtandao sio wa kitoto ,
 
Kwa nini unafikiri kuuana ndiyo kutaleta mabadiliko mazuri na si chaos zaidi?

Mfano, Nchimbi angalau alikuwa anasema watu wapiganie katiba mpya. Sawa, tunajua ni CCM, ni walewale, lakini hata ndani ya CCM kuna tofauti. Wote si sawa.

Sasa akiletwa chawa ambaye hata kusema hivyo hasemi anafungia vyombo vya habari tu, awe Makamu wa Rais, utaona ndiyo afadhali?

Alwtwe Makonda kuwa Makamu wa Rais, utaona poa tu?
Uzuri uyo atakayeletwa na yeye yatamkuta ya kumkuta
 
Yupo makini yule Mzee

Napanga kwenda kutalii Nchini kwake hivi karibuni, naona amejitahidi kuijenga sana Nchi yake
Ndiyo utaona maajabu! Kiwanda cha droning zinazogawa dawa mahospitali ya mbali, teksi za juu kwa juu, nidhamu, usafi, wananchi kujivunia nchi yao.....yote hayo hayapo Bongoland!
Yupo makini yule Mzee

Napanga kwenda kutalii Nchini kwake hivi karibuni, naona amejitahidi kuijenga sana Nchi yake
 
Hatua moja mbele, walau sasa naweza kuona kuna uzito kwa Emmanuel sidhani kama alishatokea makamu wa rais akajiuzulu ila Nchimbi kwa hili nampa heko kama nilivyosema mwanzo.

Sasa ni muda wa kuyaeleza yale yote machafu aliyoyaona akiwa ndani [japo hawezi kutaja yote sababu ya kiapo cha kudumu].

Ila kwa kiasi fulani amejitenga na damu za October 29.

NB: Kwanini barua haina anwani pia?

Au ndio yale yale ya barua kama ya Ndugai.
 
Itoshe kusema wewe akili huna.....period!

Kukaa na akili kama hizo humo kichwani ni msiba kuanzia waliokuzaa mkeo wanao wewe mwenyewe hadi ukoo wako wote!Taifa linavurugika wewe unakazana na uislam hivi uislmu vile mara kanisa hivi kanisa vile acha kuwaza kama maiti usione sifa kwa huu ujinga.

Taifa linavurugika kwa kujiuzulua John Nchimbi??

Wewe unalijua kweli taifa hili baba paroko

Nchimbi amestaafu kwa hiyari yake.,

Aliondoka Mpango nchi hii bado imeendelea kupiga hatua

Akaja yeye nchimbi na atakuja mwingine vile vile
 
Back
Top Bottom