Ndo hii alitabiri nabii britanicca au tuendelee kusubiri!
Imetoka hiyo! Hajawahi kukoseaNdo hii alitabiri nabii britanicca au tuendelee kusubiri!
Mh Lema ni Nabii?Mwanzo nilijua ni uzushi na kwamba wana tuset tutoke kwenye focus.
Sasa Nchimbi anaenda kuwa kama Polepole. Rai yangu achukue precautions zote kwasababu mapambano nje ya mfumo bila security sio rahisi.
Mbona barua sijaielewa na inaonekana kabisa ni fake hii,ataachia septemba 4
Tz Hii Mwanaume ni Lissu Tu, Acha kuongea maneno yasiyo kuwa na maana Kwenye Jukwaa hili, Cap fit ndio nini?Who the cap fit....👇
Atleast sasa na Tlaatlaah asikie machungu.Duuh naogopa na kutetemeka nyie Nchimbi why??? Watanganyika umetuhuzunisha!!!
UongoAmechagua heshima dhidi ya serikali dharimu
Maswali ambayo najiuliza.Alizingatie sana hili!