Mahakama yamtia hatiani Zitto Kabwe katika kesi yake ya Uchochezi. Atakiwa kutotoa matamshi ya Uchochezi kwa mwaka 1. Asema kukata Rufaa

beth,

Tatizo umewahi kutupa taarifa nusu tulia kwanza alafu utuletee taarifa kamili mwandiko sio shida.
 
Mzee wa USA samahani kidogo, hivi waandishi wanaitwa Judiciary Journalism au Judiciary Journalists, samahani lakini kukuuliza maana nyie wenzetu mmeishi sana huko na ndio lugha zenu hizi. Sisi tunababia babia tu
Mkuu asante kwa masahihisho, ts minor errors mkuu, asante kwa hekima zako 🙏
 
Karika kipindi hiki kuelekea uchaguzi, CCM aka gambas wanamuhitaji zitto kuliko zito anavyohiitaji ccm, hawana jinsi ilikuwa maamuzi haya yafikiwe tu.
Fikra za Kichaggaism.

Siku ninyi watu mkiachana na siasa na siku Rais akikosa nguvu ya kuteua na kufukuza asilimia 99% ya watumishi.

Siku Hiyo Siasa Za Nchi Hii Zitabadilika Sana.
 
Zito anapenda kuvunja sheria

Uwongo wake na upotoshaji ndio umemfikisha pale

Alikuwa anafurahisha watu mitandaoni amebaki peke yake

Mkuu, si wewe utathibitisha ni uongo au ni kweli. Au alikuwa anafurahisha watu mitandaoni. Au amebaki peke yake.

Jiepushe na kuzungumzia nadharia na vitu usivokuwa na uthibitisho navyo.

Mwache hakimu, mawakili wafanya kazi zao. Mahakama sio sehemu ya hisia.
 
Halafu mbona kama naona zitto is always doing extreme stuffs and he gets away with them stuffs.
Ni kwamba zitto anajua mipaka yake sana au kuna kitu nyuma ya pazia.
Yaani anaweza tu akatoa maneno makali mazitoo mwisho wa siku husikii akapigwa kashkash kama za wapinzani wengine.
Just sinking!
Sie wengine tunawaza km wewe halafu tunakaa kimyaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom