Mahakama Kuu yasitisha uchaguzi mkuu TFF, Wallace Karia aitwa Mahakamani

naomba niulize swali hivi massawe au lyimo anaweza kugombea urais wa chama cha soka zanzibar?
Kagombea karia na kashinda ilhal wote tunajua kua karia ni msomali itakua huyo mzanzibar.

Oyah! bola viharibike tu, lakini Karia atupishe hapo.
 
Ally Saleh nyoosha machogo hao
anataka kuingia kwenye historia kuwa alishawahi kuipeleka tff mahakamani, zote hizo ni jitihada za kutaka kujitenga kwa kutumia kona tofautitofauti. Kifupi wazanzibar wengi hawapendi muungano
 
Ally Salehe ni kiongozi wa Yanga? katumwa na Yanga kusimamisha uchaguzi?! Ndio hivyo watu wamestukia uhuni wa baba yenu Karia!

Sent using Jamii Forums mobile app
Haiwezekani watu woooooooote 55 ml wakose vigezo except Karia kama vile ameikodi tume ya uchaguzi tanzania ije imuengulie wagombea wote abaki peke yake,
 
Back
Top Bottom