Sandinistas
JF-Expert Member
- Jul 5, 2013
- 2,616
- 1,778
Kati ya vitu vinavyomtesa mkulu hili la lugha ya malkia linaweza kuwa bamba moja cc hatujui tu!
Upon sahihi sana. Sidhani kuna kitu kinatia doa kwenye uongozi wake kama hili.
Kati ya vitu vinavyomtesa mkulu hili la lugha ya malkia linaweza kuwa bamba moja cc hatujui tu!
dont act as a catalyst....because at the end of reaction u just remain the same....while other elements have lost their weight and volume..!!Tatizo lugha anaipenda ila haimudu..
Na ndio maana akiwa anaongea huwa anachomeka visamiati vya kemia ili aonekane na yeye yumo....acheni kumtia ujinga
Tukienzi pale English inapoevaporate? Kiswahili tukienzi ila tukubaliane kwanza jiwe Phd hajui kingereza. Haiwezekani unasoma hotuba kingereza halafu unataka ujibu maswali kiswahiliMbona wachina na wajapan hawasemwi? Tukienzi kiswahili
Ubarikiwe Sana Mkuu, huyu mpuuzi anafikiri eti kila mtu anatamani kuwa rais au familia ya rais....what a nonsense???
Imagine ungekuwa familia ya Magufuli ungeweka sura yako kwa madudu anayofanya na anavyogeuka kituko?
PhD holder!!!
Whether we like it or not English is our language, this is very shameful for a PHD holder kuongea broken English.. I mean we start learning darasa la tatu all the way mpaka PHD with a dissertation juu, bado simple grammar inaleta tabu.
Aibu tupu
Lugha yetu tunaidharau wenyewe, huu ni umasikini wa akili wa kiwango cha juu kabisa
Kumbe na wewe unayeandika hapa kwa Kiswahili sio msomi sio?
Si anataka kuweka watu wajuaji na wenye kejeli kama akina Kabudi kwa wafanyakazi waliowakuta kwenye wizara wakati yeye mwenyewe skills za kuendesha shughuli hapo hana.
Sijui kama ni planned sabotage or what lakini hii issue ni serious blunder kwa wizara ya mambo ya nje aiwezekani wataalamu humo ndani na watu wanaoanda safari ya raisi wasijue mahitaji ya raisi katika safari zake na kuandaa mipango in advance yaani mpaka anafika nchi husika ina maana awakujua kwamba ataongea kiswahili na ni jukumu lao mkumpata mkaliman well in advance.
Umeulizwa?Kuandika jf siyo mpaka mtu awe msomi; hajadai kuwa msomi.
Ninaweza kuelewa upande wa wizara kutokujua (be it wanatakiwa wawe prepared either way kwa lugha zote as minutes takers, wanapo safiri na viongozi wa nchi awendi holiday bali kufanya kazi)Nchi zote alizotembelea ni English-speaking. Hakuna mtu alitarajia kuwa mkalimani angehitajika. Pamoja na kutojiamini katika Kiingereza chake nadhani rais alitumia hiyo mbinu pia kukwepa maswali ya waendesha wa habari akijua mengine yatamsumbua.
Ninaweza kuelewa upande wa wizara kutokujua (be it wanatakiwa wawe prepared either way kwa lugha zote as minutes takers, wanapo safiri na viongozi wa nchi awendi holiday bali kufanya kazi)
Lakini chief private secretary akwepi lawama alitakiwa ajue speech ya raisi in advance na lugha itakayo tumiwa na kama kuna maandalizi mengine yanahitajika awataarifu wengine.
Ntakubaliana na wewe upande wa pili it make sense si ajabu ilipangwa ivyo kwa makusudi kukwepa maswali magumu.
Nadhani kungekuwa na clip ya video ingetoa maelezo zaidi, kama ni written speech alitumia wakati anaongea na ipo kwa kiswahili ni straight forward lengo lilikuwa kuhutubia kwa kiswahili from the outset na wasaidizi wake ndio wakulaumiwa kwa kutojipanga.Mnatafuta mtu wa kumbebesha lawama? Hapa hakuna. Kila kitu kilipangwa kufanyika kwa lugha ya Kiingereza; Kiswahili was totally out of the equation. Ghafla mkuu akaamua kutumia Kiswahili na akasema yeye mwenyewe hakuwa na mkalimani! You can imagine how baffled his hosts were! Must have been a very ingenious way of avoiding questions from the press. Ndani ya ujumbe wake wote aonekane angalau mtu wa kubahatisha hadi wanamuachia Mnangagwa!
Wanamwonea Rais wetu mkombozi wa Tanzania.. wivu tuu.Magufuli turns Mnangagwa into a translator
SWAHILI speaking Tanzanian leader John Pombe Magufuli, on Wednesday turned President Emmerson Mnangagwa into a translator, after it emerged none among the aides at the State House function in Harare could perform the function except for the Zanu PF leader.
Magufuli was in Zimbabwe on a two-day State visit and in his final address to the media before departure spoke mainly in Swahili the biggest language in East Africa forcing his host to help bemused local journalists.
The Tanzanian leader was announcing his government had a maize surplus and was ready to help hunger stricken Zimbabwe.
After speaking exclusively in his native Swahili, Magufuli turned to the journalists present and said: “I Know you will cut some of the words.”
Mnangagwa’s spokesperson George Charamba tried but could only manage one word.
“I just heard ‘mwaka’ meaning season,” Charamba said before Mnangagwa noticing the handicap among his country-men turned translator.
Earlier on, Tuesday at a banquet held at State house, Magufuli told the media that he could not find a translator for his speech thus he was now forced to read his written speech which was in English.
Introducing him to the media Mnangagwa jokingly said President Magufuli is ready for questions but he only speaks Swahili.
“With me here is President Magufuli of the Republic of Tanzania, who came here by invitation reciprocating my visit to Tanzania. We have had discussion to promote, deepen and to consolidate relations, he is at your disposal if you want to ask questions but he speaks only Swahili,” Mnangagwa said.
Mnangagwa had asked Magufuli if he had a translator among his staffers to which the Tanzanian responded in the negative before carrying on.
Translating his first brief, Magufuli further said he came to Zimbabwe to cement the bilateral relations between the two nations. He said the two leaders had agreed on several issues which including trade, tourism, and infrastructure.
“I came here to cement the bilateral relations between Zimbabwe and Tanzania. I am only a catalyst and I am confident that the talks between the two nations will continue,” he said resorting to Swahili before breaking into laughter.
During the liberation struggle Mnangagwa operated as a guerrilla in Tanzania were Zanu had several bases from which he probably learnt Swahili.
![]()
Magufuli turns Mnangagwa into a translator
news-af.dailyadvent.com
Yamesemwa mengi kuhusiana na lugha anazomudu mheshimiwa wetu mpendwa rais wa wanyonge.
Kwa mujibu wa mheshimiwa Mnangangwa, maswali ni kwa kiswahili tu maana ndiyo lugha pekee ambayo mgeni wake anayo imudu:
[
Kazi kweli kweli = hapa kazi tu.

magufuli kama.mimi tuu.. napenda sana kiongea kidhungu lakini kinajipiga chenga
Sasa jamaa kakaa uingereza wakati anasoma chuo, sijui alikuwa anaongea bunsen burner kila wakati! Hawa viongozi wasioji changanya hawa!
Kwani Putin amefundishwa kwa Lugha gani mkuu?
Issue hapa ni kwanini hotuba iliyokuwa imeandikwa(aliyoisoma) ilikuwa ni ya Kiingereza na maswali yawe kwa Kiswahili, hiyo inahitimisha ya kuwa si kwamba anakipenda Kiswahili bali ni tatizo la kutokumudu kuongea Kiingereza ndiyo kiini cha mkanganyiko hapo.Slavery mentality thinking Bro! Mimi nimesomea UK lakini Kiingereza sikipendi sana kukitumia baada ya kujua sababu ya wazungu kuwalazimisha babu zetu kutumia Kiingereza chao! Soma hapa chini utaelewa.
View attachment 1112344
Kaka Kiingereza cha Mbowe ni level nyingine
Unajua mtoto wa tajiri hata akiwa mchafu watu humuita msafi na kumpigia magoti
Kaka mtoto wa tajiri huongea Kiingereza tofauti na maskini
Endelea kujilinganisha familia ya Mbowe na Babu yako mvaa kandambili zilizotoboka katikati
Mbowe ni next level kwenye lugha ya malkia
Tangu lini maskini akaongea lugha ya kueleweka mbele ya tajiri, Tajiri hata akikosea watu huzalisha msamiati aliotamka tajiri na kuingiza kwenye kamusi
Issue hapa ni kwanini hotuba iliyokuwa imeandikwa(aliyoisoma) ilikuwa ni ya Kiingereza na maswali yawe kwa Kiwahili, hiyo inahitimisha ya kuwa si kwamba anakipenda Kiswahili bali ni tatizo la kutokumudu kuongea Kiingereza ndiyo kiini cha mkanganyiko hapo.
Kama kweli anakipenda na ana nia ya kukitukuza Kiswahili basi hata hotuba yake aliyoisoma ingekuwa ya Kiswahili.
Swali muhimu hapa,shule amesomaje? Kiingereza hajui siyo siri, mpaka kufika kiwango cha PHD alikuwa akisoma masomo yake kwa Kiswahili? Manake kuna vichaa wanakuja na mifano ya akina Putin(who speaks German like a native) na wengineo waliosoma kwa lugha zao mpaka wanahitimu.
Usanii wa aina yoyote hauna nafasi hapa, tukubali Kiingereza kwake imekuwa ni kitendawili, twende naye taratibu kwani ndiyo kiongozi wetu na taswira ya nchi yetu na tutafika tu hata kama ni kwa aibu.
Huwezi kuelewa coz kichwa chako kimejiandaa kutokuelewa. Wewe ni miongoni mwa wanaoamini kujua kiingilishi ndio kua na AKILI. Nilipokua Chuo kuna mwalimu alikua ana anaweka tick kwenye vikey point tu.Kama ni practical report ye anacheza na key point tu.Aone Molarity ngapi,conc, Weight.... na hivi ndivyo watu wa sayansi wengi wanavyosoma. Huwezi kufananisha na Yule anayetakiwa aeleze story za Ngoni Invasion au achambue story ya this time tomorrow.Haya ni mawazo ya kienyej sana
Mbona alikuwa na palamagamba kabudi kwanini aloshindwa msaidia rafiki yetu magufuli kutafsiri