ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,729
- 34,830
umuhimu wa lugha ni pale ujumbe unapofika....na sio umahiri wa kuzungumza lugha!Ni kheri aongee lugha anayoimudu.
umuhimu wa lugha ni pale ujumbe unapofika....na sio umahiri wa kuzungumza lugha!Ni kheri aongee lugha anayoimudu.
Mkuu unaandika madesa marefu then UPUMBAVU. Unaulizwa kama kiingereza ndio maendeleo China ingefika pale?We unaleta desa refu la kipumbavu. Hivi nyie watu nani aliyewaroga?Ni nchi gani imekosa maendeleo au mambo hayaendi kisa Rais wao hajui kiingereza?Kitu gani Tanzania kimekwama kisa JPM hajui kiingereza?Utaleta story za aibu,Je kwa hiyo aibu unayoiona wewe Taifa limepoteza kiasi gani ambacho tayari kimemwathiri Raia wa Rombo au sumbawanga?Mimi nimeshuhudia viongoz wengi sana na wakubwa wanatembea na wakalimani wao. Je hawa nao nchi zao zina mattz kisa kiongoz wao hajui kiingereza?Ukifuata mtiririko wa HOJA utaona wapinzani ni WAPUMBAVU kiwango cha SGR. Hivi swala la kiingereza linaweza kuwa Hoja kweli?Kwani limefika wapi?
Nchi ina watu Milioni elfu moja na mia saba unategemea hata Afrika na umaskini wake ingekua ni nchi moja si ingekua ni kati ya nchi Tajiri kuzingatia pato la nchi.
Umaskini wa watu wa China bado ni Mkubwa sana ukigawanya Pato la nchi na idadi ya watu wa wake.
Huwezi ukailinganisha China kimaisha ya watu wa kawaida na Canada au Norway au Denmark.
China bado wanaishi maisha ya kinyama.
Watu wananyongwa kila siku ,watu ni watukutu sana na wana Roho mbaya sana kama nyoka la mdimu.
Sijawahi kuifagilia nchi isiyopenda wageni.
CCM ni wengi ni wanafiki kama walivyo wachina.
Ni watanzania wangapi wanaishi China na wakaoa China na wakazaa na machina ?
Yani humu ndani JF kama kuna Watanzania hata 50 wanaoishi China na wana Wakwe kula basi Mwenyezi Mungu atukuzwe ?
Hakuna haja ya kumuiga shetani kwa sababu tu ana uwezo wa kishindana na Mungu.
China sio Mwenzetu kamwe zaidi ya wanasiasa waovu walioka kwenye nchi za Afrika kuwatesa watu wao na kuzifanya nchi zao kuwa koloni la Mchina katili.
Afrika kama ingekua na viongozi wenye nia njema na Nchi zetu wangempiga vita Mchina kuliko hata Ukimwi.
Kama kuna watu watawaachia wananchi wao laana na mateso makubwa miaka 50 ijayo mbele ni wale watakao mkubatia Mchina kwa misaada au kuwaruhusu wachina wakae Afrika badala ya kufanya nao biashara tu wakiwa kwao.
Nchi za Asia hasa waarabu walikuja mwanza wakatutawala kwa dini zao na mila zao lakini angalau walikua wanahofu ya hukumu ya Mungu japo tunaambiwa walikua katili.
Wakaja wazungu na Dini yao na mila zao lakini walikua na utu zaidi ya waarabu japo walikua wajanja zaidi kwenye kutawala na kueneza wakiwatumia zaidi waafrika wenyewe kutengana kwa kupitia Elimu, fedha ,vyeo n.k.
Watu walianza kubaguana kupitia madaraja ya Elimu n.k.
Waarabu na Wazungu ni kama Zimwi likujualo. Kwa sababu ndugu zetu wengi wanaishi kwao na tunashea utamaduni kwenye masuala ya dini ya Kiislam na Kiroma.
Pia wanajitoa sana kwenye kusaidia jamii kupitia taasisi za kidini.
Misaada tunayoipata toka Uarabuni na Nchi za Magaharibi kama jamii mbali na Watawala ambao ni mawakala wa Wachina ni mingi sana na inaisadia jamii zaidi kuliko misaada ya kichina ambayo inahamasisa uvunjaji wa sheria kwa watawala na kutojali haki za binadamu zaidi ya watawala kuwa miungu watu. Watawala wanageuka kuwa watu wenye kuamrisha zaidi kuliko kuongoza na kuwatumia wananchi kujiletea maendeleo yao wenyewe bila kutegemea serikali muda wote au wanasiasa.
Kama tunataka kujiletea maendeleo bila kuegemea upande wowoye wa hawa wakoloni mambo Leo basi ni vizuri tukaamua kuwaweka pembeni wachina na kuachana na misaada yao inayowapa nafasi zaidi ya wao kujijenga kisoko.
Wachina wakikuagiza bidhaa Mara miaka mitatu mfululizao basi ujue wamejitahidi sana.
Wachina wakishajua bidhaa filani ina soko kwao basi wanaicopy na kupest haraka sana na kuizalisha kwa wingi sana hata kama ni mazao wataloma kwa wingi sana na inakua ndio mwisho wa kuagiza nje .
Huu ni ushahidi mwingine kuna watu hawatumii kabisa akiliKuongea na kuandika ni vitu viwili tofauti
Ushawahi msikia Kim jing Un anaongea kiingereza? Au Angela Merkel, Putin, Xi jin P
Ushawahi msikia Theresa May au Trump anaongea lugha tofauti na kiingereza?
Kuna mahali nimezungumzia Kingereza au Mtu na Lugha ya mtu?Mkuu unaandika madesa marefu then UPUMBAVU. Unaulizwa kama kiingereza ndio maendeleo China ingefika pale?We unaleta desa refu la kipumbavu. Hivi nyie watu nani aliyewaroga?Ni nchi gani imekosa maendeleo au mambo hayaendi kisa Rais wao hajui kiingereza?Kitu gani Tanzania kimekwama kisa JPM hajui kiingereza?Utaleta story za aibu,Je kwa hiyo aibu unayoiona wewe Taifa limepoteza kiasi gani ambacho tayari kimemwathiri Raia wa Rombo au sumbawanga?Mimi nimeshuhudia viongoz wengi sana na wakubwa wanatembea na wakalimani wao. Je hawa nao nchi zao zina mattz kisa kiongoz wao hajui kiingereza?Ukifuata mtiririko wa HOJA utaona wapinzani ni WAPUMBAVU kiwango cha SGR. Hivi swala la kiingereza linaweza kuwa Hoja kweli?
Wewe unaleta UPUUZI kwenye mambo ya mcng.Ukisoma lile desa lako na ukatafakari utakubali kuwa ni we ni mpuuzi. Mara CCM mara China ni watu wabaya yaani lile desa ni pumba tupu.Unaulizwa kama kiingereza ndio maendeleo China ingefika pale?We unaleta story za CCM.Kuna mahali nimezungumzia Kingereza au Mtu na Lugha ya mtu?
Sina tabia ya kutukana .
Ngoja niachane na wewe!
Mana unaleta ishabiki maandazi .
Nazungumzia mawakala wa Mchina wanaojiita wazalendo wa Afrika wewe unazungumzia mambo ya Rombo na sumbawanga.
Hivi unafikiri Binadam anayewagawa ni nani kama sio watawala kwa interest zao?
Hivi huonagi aibu kuandika pumba?Science is empirical evidence oriented. Presentation za kisayansi wanadeal na FACTS TU na sio mbwembwe. Nafikiri unafikir Jpm ana PhD ya international relations au linguistic. Watu wa sayansi hawawezi kushangaa kwanini Jpm hajui kiingereza ila wale waliokariri ndio wanashangaa. Sijui kama uliwahi ona essay ya Chemistry au mathematics. Na hata ukifika Chuo kikuu asilimia kubwa wanaofeli course za communication skills ni watu wa sayansi. Kuna watu vichwa vimejaa CODE tu na ni hatari,sasa wewe ulivyo mpumbavu ukimuona hajui kiingereza utakuja mbio kupiga kelele jamaa hana AKILI. Nina mifano mingi sana,Huko secondary kwenyewe nilikua na jamaa mtaalam wa Math na NECTA alipiga A lkn debates, morning speech na masomo ya kujieleza ilikua shida sana. Kwa akili za kipumbavu utasema jamaa hana AKILI lkn ukifika Chuo ukakutana na theory za akina Gardner utaelewa.
Huwez jadili nachojadili coz kiko juu ya uwezo wako.Najua ulitaka niongee kama niko kwenye kibanda cha kahawa kama oooh jamaa hana akili, oooh nchi imeabika oooh hafai kua Rais nk. Najua like ningepata kama ningeandika upuuz kama huu.Hivi huonagi aibu kuandika upumbafu?
Ungesema Marais wote duniani wanaongea kiingereza ungekua na AKILI TIMAMU. Sasa kama Rais wa China hajui kiingereza na nchi inaenda ttz nini?Kuna siku Rais amekwama kufanya mambo yake kisa hajui kiingereza?Wewe unataka sifa au usiaibike kuwa Rais hajui kiingereza, je hili linakuongezea nini au kupunguza nini ktk Maisha yake kila siku?Mtu aliyeko kakonko anafaidika nini na Rais kuongea kiingilishi?Kama viongoz wakubwa wa mataifa yaliyoondelea wanatembea na wakalimani wao na mambo yanaenda, kwa JPM shida ni nini?
Viongoz wote wanaohutubia Umoja wa Mataifa wanahutubia kwa kiingereza?Viongoz wote duniani wanaongea kiingereza?Viongoz ambao hawaongei kiingereza kama wa huko ujerumani, ufaransa, China nk Hawafanyi shughuli za kidiplomasia?Medani ya kimaita ni Kuongea kiingereza tu?Wale viongoz waliopita wa Tanzania na nchi zingine wameendeleza nchi zao vipi toka tupate uhuru kwa kuongea kiingereza?Ramaphosa kahutubia umoja wa mataifa kisa anajua kiingereza au ni kutokana na status ya nchi yenyewe?Rais wa Malawi kaapishwa week hii,je naye kahutubia umoja wa mataifa na kiingereza chake tayari nchi yao imeendelea?Ebu njoo na hoja za mcng ukieleza ni kwa jinsi gani taifa linapata hasara kwa Rais kutojua kiingereza.I am sure unaelewa ila sasa hii ndiyo kazi unayolipwa kwa kodi zetu kufanya humu jf. Wakati sisi tunaumiza vichwa juu ya mustakabali wa nchi yetu kwenye medani ya kimataifa ninyi mmepewa kazi ya kumpigania mtu! Very pathetic! Kuzungumza na vyombo vya habari vya nje ya nchi yetu ni moja ya majukumu ya rais kwani yeye ndiye mwanadiplomasia namba moja wa nchi yetu. Alishindwa hilo jukumu. Alishindwa kuuza nchi yetu kimataifa kwenye vyombo vya habari. Sasa kama anashndwa Zimbabwe UN je? Ramaphosa aliteuliwa kuwa rais mwaka mmoja uliopita lakini tayari ameshahutubia Baraza Kuu la Umoja Mataifa. Hii ni kwa sababu kiongozi mgeni wa nchi lazima apewe hiyo nafasi. Je, hilo siyo jukumu lingine la rais ambalo limeshindikana? Rais wetu baada ya kuchaguliwa alikaa miaka 3 bila kukutana na mabalozi wa nje walioko hapa. Kosa. Amekutana nao mwaka huu baada ya kupata upenyo wa kutumia kiswahili! Sasa kama marais wanatembea na wakalimani huyu wa kwetu mbona hawakufanya hivyo? Mpaka mwenyeji wake asiyejua hiyo lugha akageuka mkalimani? Ni kwa sababu rais wetu anapotembelea nchi mwanachama wa jumuia ya madola hahitaji mkalimani. Isitoshe siku chache tu kabla tulionyehwa video ikidaiwa rais aliendesha mkutano kwa lugha ya Kiingereza! Ghafla huyo huyo akashindwa kuzungumza na wanahabari kwa Kiingereza na hana mkalimani! Halafu, this time kimya, hakuna cha video wala nini. Meaning it was an embarrassment! Haya, endeleeni na ujuha wengi lakini najua kosa hili halitarudiwa tena.
Mbowe ni Rais wa Kuwait?Mbona mbowe sijawahi kumuona akiongea english?
Nonsense!Huwez jadili nachojadili coz kiko juu ya uwezo wako.Najua ulitaka niongee kama niko kwenye kibanda cha kahawa kama oooh jamaa hana akili, oooh nchi imeabika oooh hafai kua Rais nk. Najua like ningepata kama ningeandika upuuz kama huu.
Ùtetez wa kiboya sana huuAkili zilizoshikiliwa na wakoloni, JPM aongee kiswahili popote atakapokwenda kama Putin na Yule wa China, Putin anajua kiingereza lakini hakitumii popote atakapokuwa ziara za nje anaongea kirusi tuu.
Kujua kiingereza sio kuwa kiongozi Bora, wapo wanajua kiingereza kama Kenya na Nigeria lakini ndio wanaongoza Kwa rushwa africa
Its mental errorBecause you are asshole you cant realize that it was just a typing error! I meant Mentality you fool.
Ni huyu hapa anayesimamia lugha au lugha imempitia pembeni?
Ipo tofauti kubwa ya kusimamia lugha na lugha kumpitia mtu pembeni. Nadhani ukweli huo unaufahamu na mkweli ni mpenzi wa Mungu.