Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Kila mtu na mkate wake,kama kila mtu akitaka kuwa Rais,mambo mengine atafanya nani?
Mtu yeyote mwenye sifa anaweza kuwa Rais,ni game tu!Hata IDD Amin alikuwa Rais!!!!Kuwa Rais sio kwamba umebarikiwa sana kuliko binadamu wengine!
Ya na ndo maana yake, Raisi wa JMTZ anaweza kuwa 1 tu, na kila mtu anataka kuwa mmoja wapo na katika wote Magufuli ndiye aliyepita, ni lazima hilo liheshimike pia, utake usitake, kwani wewe na ukoo wenu hamuwezi kufikia alipofikia hata kwa miaka 1000 ijayo, hivyo kumcheka mtu kama huyo ni low IQ!