Magufuli turns Mnangagwa into a translator

Huwezi kuelewa coz kichwa chako kimejiandaa kutokuelewa. Wewe ni miongoni mwa wanaoamini kujua kiingilishi ndio kua na AKILI. Nilipokua Chuo kuna mwalimu alikua ana anaweka tick kwenye vikey point tu.Kama ni practical report ye anacheza na key point tu.Aone Molarity ngapi,conc, Weight.... na hivi ndivyo watu wa sayansi wengi wanavyosoma. Huwezi kufananisha na Yule anayetakiwa aeleze story za Ngoni Invasion au achambue story ya this time tomorrow.
Tusitetee ujinga. Wengi tumesoma Sayansi lakini hatuna matatizo ya hii lugha yetu ambayo ni rasmi. English:

1) ni moja ya lugha zetu rasmi
2) ni lugha ya kufundishia masomo
3) ni lugha yetu ya kimataifa (Kiswahili hakimo)
4) ni lugha yetu rasmi ya sheria

Kama hujui lugha yako rasmi, lugha uliyoitumia kwenye masomo, lugha yako pekee inayotumika kwenye mawasiliano ya kimataifa, ni jambo linaloleta maswali mengi. Hapa siyo suala ya kukuza Kiswahili na hakuna suala la uzalendo bali kuna tatizo kubwa ambalo halisemwi.

Kwetu sisi Lugha ya English siyo suala la lugha bali ni taaluma ya lazima kwa kila aliye msomi.

English and Mathematics, hata kwenye mfumo wetu wa Elimu ya Msingi mpaka Sekondari, ndiyo masomo yaliyopewa uzito kuliko masomo yote. Na usipoyafanya vizuri unashushwa daraja hata kama ulifanya vizuri kwenye masomo mengine.

Huyu mwezetu ilikuwaje afike huko akiwa hajui kabisa hata ile misingi ya awali kabisa ya English.
Yaani anafikia kutamka:
womens, mens, etc!!!! Ngumu kuelewa.

Msisahau kuwa Mwalimu Nyerere pia alisoma Sayansi.
 
Kwani jamani sawa mheshiwa anandoto nzuri za kukitangaza kiswahili lakini vipi akimaliza kipindi chake mrithi wake sijui kama nayeye ataendeleza kukitangaza au yeye ayafanya yake.
 
Tusitetee ujinga. Wengi tumesoma Sayansi lakini hatuna matatizo ya hii lugha yetu ambayo ni rasmi. English:

1) ni moja ya lugha zetu rasmi
2) ni lugha ya kufundishia masomo
3) ni lugha yetu ya kimataifa (Kiswahili hakimo)
4) ni lugha yetu rasmi ya sheria

Kama hujui lugha yako rasmi, lugha uliyoitumia kwenye masomo, lugha yako pekee inayotumika kwenye mawasiliano ya kimataifa, ni jambo linaloleta maswali mengi. Hapa siyo suala ya kukuza Kiswahili na hakuna suala la uzalendo bali kuna tatizo kubwa ambalo halisemwi.

Kwetu sisi Lugha ya English siyo suala la lugha bali ni taaluma ya lazima kwa kila aliye msomi.

English and Mathematics, hata kwenye mfumo wetu wa Elimu ya Msingi mpaka Sekondari, ndiyo masomo yaliyopewa uzito kuliko masomo yote. Na usipoyafanya vizuri unashushwa daraja hata kama ulifanya vizuri kwenye masomo mengine.

Huyu mwezetu ilikuwaje afike huko akiwa hajui kabisa hata ile misingi ya awali kabisa ya English.
Yaani anafikia kutamka:
womens, mens, etc!!!! Ngumu kuelewa.

Msisahau kuwa Mwalimu Nyerere pia alisoma Sayansi.
Nimeeleza mengi huko juu lkn bado inaonesha HAMTAKI KUELEWA. Ni Tanzania tu Akili au level ya ELIMU inapimwa kwa kujua kiingilishi. Unaleta story za Nyerere utafikiri learning capacity za BINADAMU zote ni sawa. Kwa Nyerere hata asingeenda shule bado ile exposure ya kushinda na wazungu ingembeba sana. Elimu ya mkoloni tofauti na elimu hii. Elimu ile laa saba ni mtu anayeweza kuongea kiingilishi vizuri. Form four ni mtu mkubwa sana na uwezo mkubwa sana ktk lugha. Nina babu yangu alisoma elimu ya mkoloni hicho kiingilishi utasema katoka UK leo. Vyuoni tuna ona nature ya ufundishaji, LOI ni Code switching method. Huyo mtu bila jitihada zake binafsi au kuwa na route nyingi za nje kiingilishi atamaster vipi?Mtu mwenye PhD kutojua kiingilishi fasaha kwa Tanzania sioni ajabu.
 
Umeulizwa?

Tulle ndugu yangu. Najua huu mjadala hamuupendi lakini wapo wengi wanaoupenda kwa sababu unawahusu. Hili ni jukwaa la majadiliano huru; siyo mahakama kwenye maswali na majibu. Hata wewe ulipoandika hakuna mtu alitaka maoni yako. Ulisukumwa tu na utashi wako kama siyo Keira yako.. Kama hutaki kujibiwa usiandike hapa. Pia ukikosa hoja ya maana ya kundika unaweza tu kukaa kimya kama mlivyonyamazia mengine yenye maslahi kwa watu wa nchi hii.
 
Huyu jamaa kingereza kweli kwake ni issue aisee!
 
Nimeeleza mengi huko juu lkn bado inaonesha HAMTAKI KUELEWA. Ni Tanzania tu Akili au level ya ELIMU inapimwa kwa kujua kiingilishi. Unaleta story za Nyerere utafikiri learning capacity za BINADAMU zote ni sawa. Kwa Nyerere hata asingeenda shule bado ile exposure ya kushinda na wazungu ingembeba sana. Elimu ya mkoloni tofauti na elimu hii. Elimu ile laa saba ni mtu anayeweza kuongea kiingilishi vizuri. Form four ni mtu mkubwa sana na uwezo mkubwa sana ktk lugha. Nina babu yangu alisoma elimu ya mkoloni hicho kiingilishi utasema katoka UK leo. Vyuoni tuna ona nature ya ufundishaji, LOI ni Code switching method. Huyo mtu bila jitihada zake binafsi au kuwa na route nyingi za nje kiingilishi atamaster vipi?Mtu mwenye PhD kutojua kiingilishi fasaha kwa Tanzania sioni ajabu.

Rubbish. Mnamtetea mtu badala ya mfumo! Hata uchaguzi wa 1995 ccm iliendesha kampeni dhidi ya mgombea urais mmoja kwa kigezo cha uwezo mdogo wa Kiingereza. Kule Uganda kulikuwa na mjadala mkubwa wa Meya wa Kampala asiyejua Kiingereza! Mtu anawexaje kumtafuta uongozi wa you namna ile akiwa na upungufu mkubwa kiasi hicho? I am sure wale waliompitisha hawakujua hali ni mbaya kiasi hicho!
 
Ohh that is my president, yaani nafurahi sana anaposimamia msimamo wa lugha yetu. Mungu ambariki sana Dr Magufuli!!
Utakuwa bado umesahaulika hivi umeshindwaje kujiuliza kwa nini speech yake hakusoma kwa kiswahili akasoma kwa kiingereza halafu maswali aulizwe kwa kiswahili? Duuuuh! Changamsha ubongo wako
 
Nimeeleza mengi huko juu lkn bado inaonesha HAMTAKI KUELEWA. Ni Tanzania tu Akili au level ya ELIMU inapimwa kwa kujua kiingilishi. Unaleta story za Nyerere utafikiri learning capacity za BINADAMU zote ni sawa. Kwa Nyerere hata asingeenda shule bado ile exposure ya kushinda na wazungu ingembeba sana. Elimu ya mkoloni tofauti na elimu hii. Elimu ile laa saba ni mtu anayeweza kuongea kiingilishi vizuri. Form four ni mtu mkubwa sana na uwezo mkubwa sana ktk lugha. Nina babu yangu alisoma elimu ya mkoloni hicho kiingilishi utasema katoka UK leo. Vyuoni tuna ona nature ya ufundishaji, LOI ni Code switching method. Huyo mtu bila jitihada zake binafsi au kuwa na route nyingi za nje kiingilishi atamaster vipi?Mtu mwenye PhD kutojua kiingilishi fasaha kwa Tanzania sioni ajabu.
Kwa kufuata mtaala wa elimu wa sasa ambao mtu hufundishwa kwa kiswahili elimu ya msingi hadi darasa la 7 baada ya hapo ni English hadi PhD hajui lugha ambayo alikuwa akijifunzia kwa miaka zaidi ya 10 ni ajabu sana
 
Shida husomi kilichoandikwa zaid ya kuja na nonsense issue. LOI ni Code switching method, Huyo Mwanafunzi akitoka hapo yuko mtaani ambako ni kiswahili mwanzo Mwisho, Hasomi novels au vijarida vya English, Hana exposure yyt ya kutembea nje au kushinda na watu wanaoongea kiingilishi plus masomo yake yeye ni mathematical orientated. Hicho kiingilishi atakijua kwa ufasaha kweli?Kaangalie ufundishaji wa secondary huko unakosema wanafundisha kwa kiingilishi uone kama kweli kuna muandaa mtu kuongea kiingilishi SAHIHI. Chuo kikuu pekee sio sehem kuu ya mtu kujifunza kiingilishi. English ni msingi kuanzia huku chini,Exposure, mazoezi na Nature ya mtu husika.
 
Rubbish. Mnamtetea mtu badala ya mfumo! Hata uchaguzi wa 1995 ccm iliendesha kampeni dhidi ya mgombea urais mmoja kwa kigezo cha uwezo mdogo wa Kiingereza. Kule Uganda kulikuwa na mjadala mkubwa wa Meya wa Kampala asiyejua Kiingereza! Mtu anawexaje kumtafuta uongozi wa you namna ile akiwa na upungufu mkubwa kiasi hicho? I am sure wale waliompitisha hawakujua hali ni mbaya kiasi hicho!
Sijui kama unajua unachoongea. Magufuli ni moja ya Mawaziri Bora zaidi toka balaza la mawaziri lianze kuundwa. Kiingereza kingekua hoja ya msingi basi Magufuli asingekua waziri na hatimaye Rais. Sijui mfumo wa elimu wa Uganda lkn kwa Tanzania sishangai coz sio Magufuli tu ambaye hajui kiingereza. Tafuta degree Holder hata wa UDSM au chuo chochote unachokiamini kampime Katika kuongea kiingilishi utaona kama hujamuona kilaza. Mtu huyohuyo mpe kazi ya alichosomea tena kwa lugha ya kiingereza uone kama atashindwa. Utajiuliza imewezekanaje anaweza kufanya kazi alizosomea kwa kiingereza lkn hawezi kuzungumza kiingereza fasaha?

Ni ukweli Magufuli hawezi zungumza kiingereza kilichonyooka,lkn sio hoja ya msingi kuhoji kapataje PhD.
 
Shida husomi kilichoandikwa zaid ya kuja na nonsense issue. LOI ni Code switching method, Huyo Mwanafunzi akitoka hapo yuko mtaani ambako ni kiswahili mwanzo Mwisho, Hasomi novels au vijarida vya English, Hana exposure yyt ya kutembea nje au kushinda na watu wanaoongea kiingilishi plus masomo yake yeye ni mathematical orientated. Hicho kiingilishi atakijua kwa ufasaha kweli?Kaangalie ufundishaji wa secondary huko unakosema wanafundisha kwa kiingilishi uone kama kweli kuna muandaa mtu kuongea kiingilishi SAHIHI. Chuo kikuu pekee sio sehem kuu ya mtu kujifunza kiingilishi. English ni msingi kuanzia huku chini,Exposure, mazoezi na Nature ya mtu husika.
Sasa kwa mtu wa level ya jiwe amekosa nn kati ya hivyo ulivyotaja you are more than stupidity kuliko huyo jiwe.
 
Kwa hapo lugha bado haijawa sababu ya kudharaulika kwa Rais,ikiwa majukumu yake yanaenda sawa basi hatuna budi kumdhihaki.Kubwa ni kutoa maoni yetu kipi kifanyike kwa maslahi ya taifa letu kutokana na hizo safari alizoenda.
 
Huwezi kuelewa coz kichwa chako kimejiandaa kutokuelewa. Wewe ni miongoni mwa wanaoamini kujua kiingilishi ndio kua na AKILI. Nilipokua Chuo kuna mwalimu alikua ana anaweka tick kwenye vikey point tu.Kama ni practical report ye anacheza na key point tu.Aone Molarity ngapi,conc, Weight.... na hivi ndivyo watu wa sayansi wengi wanavyosoma. Huwezi kufananisha na Yule anayetakiwa aeleze story za Ngoni Invasion au achambue story ya this time tomorrow.
[/QUOTE
Utetez wa kipumbavu.....unajua kuwa hata ķichaa anaweza kuongea lugha?
The problem with our chief is that he lacks confidenče,çommitment and interest in english language!
 
Nafikiri unaakili za kipumbavu ndio maana unaamini ukijua kiingilishi tayari ni msomi. Ni Tanzania tu ambako msomi anatambuliwa kwa kujua kiingereza. Huwa sishangai mtu akiongea pumba upigiwa makofi kisa tu kaongea kwa kiingereza. Msomi Tanzania ni lzm ajue kiingereza hata afanye maajabu gani bila kuongea kiingilishi sio msomi. HUU NI UPUMBAVU.
 
Kwa mujibu wa TWAWEZA (2017) wafuas wa viongozi wanaotokana na CCM ni mambumbumbu¡Sibishan tena na limbumbumbu
 
Watanzania tuwe wakweli katika mazingira kama yale kulikuwa na ulazima wa kutumia kiswahili?
 
Nafikiri unaakili za kipumbavu ndio maana unaamini ukijua kiingilishi tayari ni msomi. Ni Tanzania tu ambako msomi anatambuliwa kwa kujua kiingereza. Huwa sishangai mtu akiongea pumba upigiwa makofi kisa tu kaongea kwa kiingereza. Msomi Tanzania ni lzm ajue kiingereza hata afanye maajabu gani bila kuongea kiingilishi sio msomi. HUU NI UPUMBAVU.
We jitu la ovyo sana hv huoni maajabu kwa mtu mwenye level ya PhD aliyoipatà kwa kutumia lugha kiingereza na wakati mwingne alitumia lugha hyo kuwashawish oral examiners wakubali hoja zake alaf ashindw kuońgea ňa waañdish wa habari?Bas usomi huu ni questionable,yaan tunawàshawish wengñe kua ķuongea kiswahili ni uzalendo wakat sis tumesoma kupitià kizungu
 
Sijui kama unajua unachoongea. Magufuli ni moja ya Mawaziri Bora zaidi toka balaza la mawaziri lianze kuundwa. Kiingereza kingekua hoja ya msingi basi Magufuli asingekua waziri na hatimaye Rais. Sijui mfumo wa elimu wa Uganda lkn kwa Tanzania sishangai coz sio Magufuli tu ambaye hajui kiingereza. Tafuta degree Holder hata wa UDSM au chuo chochote unachokiamini kampime Katika kuongea kiingilishi utaona kama hujamuona kilaza. Mtu huyohuyo mpe kazi ya alichosomea tena kwa lugha ya kiingereza uone kama atashindwa. Utajiuliza imewezekanaje anaweza kufanya kazi alizosomea kwa kiingereza lkn hawezi kuzungumza kiingereza fasaha?

Ni ukweli Magufuli hawezi zungumza kiingereza kilichonyooka,lkn sio hoja ya msingi kuhoji kapataje PhD.

Mimi sijadili uwaziri wala Ph.D yake. Na wala mimi sishabikii mambo madogo madogo ya rais kutojua kiingereza. Kutojua kiingereza ni upungufu kama upungufu mwingine wowote; kila mtu anao upungufu wake. Ninachojadili mimi ni mambo mawili. Kwanza, katika nchi kuna haja sasa kuwa na mfumo madhubuti wa kuwezesha watu wenye vigezo stahiki kushika madaraka makubwa katika nchi. Rais ni nembo ya nchi hivyo si busara hata kidogo kuacha wazi tu na vigezo vya jumla jumla. Hakuna raia hata mmoja anayepata faraja kusikia rais wake ameshindwa kutumia Kiingereza! Pili, wanasiasa wetu nao na vyama vyao wajifunze kitu hapa. Wajipime kabla ya kujaribu kutaka kuwania madaraka makubwa katika nchi. Kwa mfano, kwa upungufu wake rais wetu alistahili kubakia waziri tu. Mwanadiplomasia namba moja katika nchi yetu ni rais! Naamini rais wetu hakujua hilo na nadhani aliamini pia kuwa halazimiki kusafiri nje ya nchi!
 
Back
Top Bottom