Magufuli turns Mnangagwa into a translator

Magufuli turns Mnangagwa into a translator

30 May 2019
Harare, Zimbabwe

Tanzania's President Magufuli who is on a two day state visit to Zimbabwe has pledged to assist Zimbabwe with grain, describes himself as a catalyst to bilateral relations.

Source: ZBC News online
 
Watu kama wewe mara nyingi mnakuwa na uwezo mdogo wa kufikiri na pia mnakuwa na mawazo mgando sana.... Too negative

sasa kwani kushindwa kujua kiingeleza na kushindwa kufanya Mawasiliano.?
Hakuna watafasiri wa Lugha?
Mbona wachina na mataifa mengine Km India huja hapa Tanzania na watafasiri kufanya Mawasiliano??

Watu wengine Km wachawi vile? Hakuna hata siku moja mnakuwa na mawazo positive.... Always negative tu...
"Kiingeleza" ndio nini?
 
Mbona Rais wa China hutumia lugha Yao ya kichina ktk mikutano yake ya nje na ndani ya nchi? Mwacheni mheshimiwa Rais afanye kazi yake akitumia lugha ya taifa lake. Kwani lugha ya kiingereza ndiyo inaleta maendeleo? Kama ni hivyo taifa la China lingefika hapo lilipo kiuchumi?
Wewe ni mpuuzi
 
Tunafanana kwamba sio lazima kwa kiongozi mkuu wa nchi kujua sana kiingereza ndio uthibitisho kwamba huyo ni kiongozi mzuri.
Sasa watu wanaombeza kiongozi wetu kwamba eti hafahamu kiingereza vizuri siwaelewi mantiki yao,
Sio lazima mtu kufahamu lugha ya kiingereza vizuri ndio uthibitisho kwamba ni kiongozi mzuri
ukisha jijua upo dahifu eneo fulani sio vizuri kujikweza,hatukatai kuwa kiongozi mzuri sio lazima kujua lugha.Jamaa sio kiongozi mzuri but yeye anajiona kama kiongozi mzuri ndio maana wanatumia udhaifu wake wa kutofahamu vyema lugha kama kukejeli fulani.
jiulize mbona Mwinyi na Kikwete walikuwa hawapo vyema sana kwenye lugha but watu hawakuwasakama sabubu ya lugha? sabubu walikuwa wapo imara kwenye uongozi kumshinda baba jesca anaye jidhania yupo vizuri kumbe watu wanamchukulia tofauti
 
Back
Top Bottom